Dimple Jerry
Senior Member
- Dec 18, 2012
- 118
- 11
Ndugu zangu wana MMU, kitu kimoja kinanichanganya ni kuhusu mfumo dume wa wanaume. Huu unakuwaje maana inaniwia vigumu kuuelewa naomba kwa aliye na ufahamu anieleweshe
Hapo nzuri anaejua akueleze kwa mifano huenda tayari ulisha uona. Hebu wewe eleza unajua nini au umesikia nini kuhusu huu mfumo dume ili iwe rahisi kujua tunaanzia wapi kukuelewesha.
Basi mfumo dume ni kua mwanaume anakua juu ya kila kitu nyumbani ie mwanamke hata akiwa na wazo zuri litapingwa tu kisa kazungumza mwanamke.Ni katika harakati za maisha nikawa nmekaa na bro mmoja katika kuzungumza ndo akasema kuhusu hilo suala.Alichosema yeye ni kwamba alipooa kuna vitu alikuwa anafanya kwa mke wake ila baadae akagundua kuwa ni mfumo dume.Hiyo ilikuwa pamoja na kuwa yeye ndo msemaji wa mwisho