Asalaam Wana Jamii Forum?
Katika ulimwengu wa sasa ambao maarifa yameongezeka na computer inatumika kumsaidia Mwanadamu kazi za kila siku.Nimekuja na mfumo unaomsaidia mwalimu kupanga matokeo online.
Mfumo wa Kupanga Matokeo
Kwa sasa imekuwa jambo la kawaida kwa shule hasa za private hapa nchini kuwa na mfumo wa kupanga matokeo na kuandaa ripoti za wanafunzi.Mwalimu wa darasa anapunguziwa mzigo wa kujumlisha marks za masomo yote ya kila mwanafunzi na kutafuta wastani na kuwapanga kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho katika karatasi ya ripoti.
Inakuwaje kwa shule ambazo hazina huo mfumo?
Walimu wamekuwa wakiendelea na ile manual system ya zamani.
Ili kusolve hili tatizo kwa walimu ambao shule zao hazina huu mfumo wa computer wa kupanga matokeo na kuandaa ripoti nimewatengenezea mfumo kama huo unaofanya kazi online.mfumo husika unapatikana kupitia hapa https:// www.360mg.co.tz/school/ ,kupitia huu mfumo mwalimu anaingiza marks za wanafunzi wake wote ,pale pale mfumo unatafuta jumla , average ya marks na Division aliyopata na kuwapanga kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho, na kuandaa ripoti ya kila mwanafunzi .Ripoti iliyotengenezwa na mfumo Mwalimu anaipata kwa kuidownload ndani ya mfumo.
Malipo
Mwalimu atalipia Tsh 5,000/= kwa ripoti ya matokeo ya darasa moja.
Jinsi ya kuutumia
Ni rahisi kuutumia.Unajieleza wenyewe hatua kwa hatua.
Faida Ya Kutumia Huu Mfumo Kwa wanafunzi
Kwa kuwa ripoti ya mwanafunzi itakuwakuwa imeandaliwa vizuri ikionyesha hadi division,Mwanafunzi atakuwa akikazana kujisomea ili ripoti yake iwe nzuri kwa kila mtihani unaofuata.Hilo nimelifanyia utafiti mwenyewe.Mwanafunzi atakuwa akizithaminisha marks anazopata.Inaongeza ufanisi kwa ujumla .Faida za kutumia huu mfumo ni nyingi.
Hii hapa chini ni mojawapo ya sehemu ya matokeo ya mwanafunzi
Mawasiliano
For more information contact through 255718218903,0684554793 Email: school@360mg.co.tz
Note
Grade ya marks zinapangwa kufuata viwango vya baraza la mitihani Tanzania(NECTA).
Mwisho
Naipongeza Jamii forum kwa kutuunganisha socially,Politically and economically
Ahsanteni