kazikubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 597
- 143
Imekuwa kawaida katika vyombo vya habari kusikia matangazo yanayohusu huduma ya massage. Lakini katika matangazo yao utasikia kuna mabinti wachangamfu na wakuvutiana, huta juta kufanya massage kwao. Naomba wenye ufahamu kuhusu haya watufahamishe:-
- kuhusu ongezeko hili la kasi za hizi salon zinaenda sambamba na uelewa wa watu kufanya massage?
- Kwanini wasiseme kuwa wanao therapist waliobobea badala yake wanatia msisitizo kwa hayo maneno meusi hapo juu. Je matangazo hayo yanalenga jinsia fulani tu.
- Kuna nini huko jamani maana na mimi nataka kujaribu ili nisijute.