Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,402
Ivi jamani naombeni ufafanuzi Ni kweli huo mfuko wa TASSAF Ni sawa kwa kugawa Elfu 67,kwa kila kaya masikini kwa awamu.Jee msaada huoo utamaliza Shida za hizo Kayaa?Au wangetafutiwa Matrekta Na mashamba wataalamu Wa kilimo.Na pia Soko mzuri..Maana.
katika Utafiti wangu nimegunduaa bado kaya holizoo hazibadiliki kwa Maana ya kutoka hatua moja kwenda nyinginee..Elfu 67 hata kama wahusika watapewa awamu 5 si zitaishia kununua ungaa Na matumizi madogo?pengine kwa kutumiaa uzii huu tutor mapendekezo zaidi ya kuweza kuwasaidia Kaya masikini mbali Na ya kilimoo nilichopendeleza pia tukumbuke licha ya haoo Ndugu zetu wanaoitwa Kaya masikini wana nguvu zao Na Afya.
Naomba kwa pamoja tujadili Nina uhakikaa watendaji wanapitia Na kuchangiaa hapa huenda wakatambua ile msemo usemao..usimpe MTU Samaki Bali MPE Ndoano avue mwenyewe hata siku haupo ajitegemee.