Mfuko wa suruali ya rostam azizi ni mkubwa sana lakini sitta na mwakyembe ni wanene | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfuko wa suruali ya rostam azizi ni mkubwa sana lakini sitta na mwakyembe ni wanene

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by makongorosi, Feb 2, 2011.

 1. m

  makongorosi Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mfuko wa surali ya Rostam Aziz ni mkubwa sana kiasi cha kuweza kuiweka serikali ya ccm na cc yake mfukoni. Lakini, Samweli Sitta na Mwakyembe ni wanene sanakiasi kwamba wameshindwa kuwekwa ndani ya mfuko huo wa suruali ya RA. Aibu kubwa sana kwa JK, ambaye wasifu wake ni mwanajeshi ambaye aliwahi kufika hadi monduli kuwa muoga kiasi cha kuwekwa mfukoni na RA, kama aitoshi ame prove woga wake kwa kuwatuma watendaje wake(Osea&Pinda) watoe kauli ya aibu kuwa mafisadi ni watu wa kuwaogopa kwani wana pesa na wanaweza kufanya wanalotaka kama hivyo ndivyo hizo kodi zetu tunazowalipa watu wa usalama, wanajeshi na polisi ni za kazi gani kama si kulinda usalama wa nchi na raia wake pamoja na rasilimali a taifa??
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Duu!! Kichwa cha thread yako inayo ubunifu wa hali ya juu!! Wewe pia uko juu kwa kuona ukweli wa mambo ulikolala!!!
   
Loading...