Mfuko wa PPF na uoga wa kuitisha mkutano mkuu wa mwaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfuko wa PPF na uoga wa kuitisha mkutano mkuu wa mwaka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mambomoto, Aug 30, 2011.

 1. m

  mambomoto JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Katika hali isiyo ya kawaida mfuko wa PPF umeshindwa mwaka huu kuitisha mkutano mkuu wa wanachama wote hasa baada ya kuona hawatakuwa na jipya la kuwaambia wanachama kuhusu mafao madogo kuliko mifuko mingine nchini. Vyanzo kutoka ndani ya PPF vinasema mwaka huu hakutakuwa na mkutano mkuu sababu zikihisiwa kuwa ni hizo. Lakini wajue wananchi washachoka na usanii huu haka wakisepa lazima mwisho wao utafika tu.
   
Loading...