Mfuko wa Jimbo kwa Wabunge kuwafanya watendaji au wasimamizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfuko wa Jimbo kwa Wabunge kuwafanya watendaji au wasimamizi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmaroroi, Jul 31, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kazi za Mbunge ni kutunga sheria na kuisimamia Serikali.Serikali ni mtekelezaji.Mahakama ni mfuatiliaji wa matumizi ya sheria zilizotungwa na Bunge.Kwa kuanziasha mfuko wa Jimbo,Wabunge hawaridhiki na majukumu yao?
   
 2. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ni Kweli kazi ya kubuni miradi ya maendeleo sasa ni ya wabunge wanaotakiwa kikatiba kuishauri na kuisimamia Serikali?
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Aug 3, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Serikali wajanja sana, wamewaingiza wabunge mtegoni ili kuwaziba midomo. Wanakuachia mafungu makusudi ili utumie vibaya halafu utashindwa kuikemea serikali! Hongera serikali ya JK kwa 'ubunifu' huo! Muda si mrefu utasikia tume imeundwa kuchunguza matumizi mabaya ya fedha katika Jimbo la Karatu au Kigoma Kaskazini!
   
Loading...