Mfuko upi wa bima ya afya unagharamia matibabu mpaka nje ya nchi?

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Nauliza na ningependa nijue gharama zao za kila mwezi, nje ya nchi namaanisha kuanzia Afrika Mashariki, India, South Afrika na Ulaya
 
Nimeulizia mfuko/kampuni ya bima ambayo INA cover kubwa kiasi hicho,kama una cover inayoishia manzese usichangie
 
Back
Top Bottom