Mfanyakazi wangu kanigeuka, nimemfungulia shitaka, wanasheria nisaidieni

SUZANE

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
740
500
Nawasalimuni ndugu zangu ktk jina la Bwana...

Story iko hivi,

Nilikua na biashara zangu nami nikaweka vijana 3, lakini kati ya hao watatu wawili niliwaweka katika biashara moja lakini kama ilivyokawaida nikamchagua mmoja ambae anaitwa ibu awe msimamizi wa ile biashara. Nimekaa nae huu ni mwaka wa nne ss, nimemfanya kama mtoto wa nyumbani.

Basi kwakua ibu alikua anasimamia biashara vzr nilimwamini kupita mtu yeyote, na ikatokea mwezi wa saba nikasafiri kama kawaida yng, nikamwachia maagizo kuwa alipe kodi ya frem na nyumba tunayoishi mwenyenyumba akitokea.

mwezi wa tisa nikarejea, masikini mie susan nilikuta biashara imeporomoka vby sana, chakwanza kufanya ilikua stock ambayo ilitoa jibu kuwa hakuna mtaji wala faida dukani. Nilichofanya nikamwita bb yk na ibu na baadhi ya ndg zng ambao tulikaa kikao ambacho baada ya kumbana sana ibu alikiri kuwa alinunua pikipiki 2 na laptop na akasema anavuta bangi na kunywa pombe kali na hela nyingine hajui zilipo kwakua yy hajachukua...

Nilihisi kupooza wapendwa ml 18,000 hazijulikani zilipo... basi nikaamua kumsimamisha kazi na kumwambia anikusanyie madeni yangu.

Tatizo nililolipata sasa, pamoja na hasara aliyonitia nikamsamehe, ibu amenigeuka vby...

wapendwa nilivyorudi kutoka ktk safari yng, nikahamia kwenye nyumba yangu mwenyewe jirani tu na ninakofanyia biashara zangu, lakini ile nyumba nuliyokua nimepanga sikua nimeirudisha kwa mwenyenyumba kwa kua mkataba wangu ulikua unaisha dec 9, niliwaacha wale vijana wengine 2 na baadhi ya vitu vyng ambavyo nikiwaza kuvihamisha kidogokidogo. Ndipo mwenyenyumba aliponipigia cm na kuniamuru nimpatie funguo za nyumba yake, nilipigwa na butwaa kwa muda, nilipomkatalia aliondoka kwa hasira na kilichofuata alivunja mle ndani na kuingiza vitu vyake, mke wake na mwanae pamoja na masela wenzie wakahamia ndani kwangu.

Baada ya mimi kupata hiyo taarifa niliripoti polisi, baada ya msaada wa polisi kijana wangu akagundua kua kunaupotevu wa fedha tsh 1,250,000, mwenyenyumba wangu akakamatwa ktk kutoa maelezo yake alisema hivi,nanukuu, "mimi nimepewa ruhusa ya kuvunja naaliyekua mpangaji wng bwana Ibu, huyu mama mm simtambui kabisa" ikabidi niwe mpole kwanza, ibu alikuwepo hapohapo alimsindikiza huyo mwenyepango wangu, akaaulizwa je nikweli? akasema ndio, akaulizwa kwa nn? akasema mm ndie nilieandikishana nae mkataba!! polisi niwaelezea mkasa mzima kama nilivyoowandikia ninyi wakawaambia mnamakosa, wakalazwa ndani kesho yk wakatika kwa dhamana.

jana nikawapeleka mahakamani, kesi tar 11.12.

SWALI
1.Ibu anasema yy anahaki kwakua signature niyakwake ktk mikataba na mwenyenyumba

2. Mwenyenyumba hanitambui tena, anamtambua Ibu kama mpangaji wake halali

3. Ibu anasema hata ktk ile biashara alikua na ubia nayo kwakua risit zote za manunuzi aliandika jina lake.

4. JE KUTOKANA NA MAELEZO YANGU SHERIA INAWEZA KUNITAMBUA KAMA MMILIKI HALALI WA BIASHARA YANGU?

5. JE SHERIA INAWEZA KUNITETEA KTK MIKATABA YA NYUMBA NA FREM AMBAZO IBU ALISAIN KUPITIA JINA LAKE?

*** JE WAKISHINDA KESI ITAKUAJE???

WENU SUSAN KATIKA KIPINDI KIGUMU...
 
Pole sana kwa hayo yaliyokukuta. Ningependa kufahamu haya yafuatayo.
1: Leseni ya hiyo biashara yako imeandikwa jina gani?
2: Je umekagua hiyo mikataba ya nyumba? Je unazo nakala za mikataba ya zamani ya hyo nyumba uliyopanga?
 
Du pole sana,ili jukwa sahihi,wataalamu wa sheria watakusaidia
 
Pole sana kwa hayo yaliyokukuta. Ningependa kufahamu haya yafuatayo.
1: Leseni ya hiyo biashara yako imeandikwa jina gani?
2: Je umekagua hiyo mikataba ya nyumba? Je unazo nakala za mikataba ya zamani ya hyo nyumba uliyopanga?

leseni na tin no vyote vina jina langu, mikataba ya zamani ndio nazidi kuisaka maana nilipohama vitu vingi sijui viko wapi.
 
Kuna sheria na kuna uhalisia wa mambo, source ya mtaji wako ilikua nini? Je kama Mr. Ibu akidai kuwa yeye ndio mwenye mali source ya mtaji wake aliipataje? Tatu, mkataba wa kwanza kabisa uko wapi|? Nne wakitiwa kashkash tu kidogo wanalainika hao, wee njoo tule kitimoto kwanza
 
haya ndio maswali ya msingi ya kumaliza utata wa huyo hayawani hasiyeaminika duniani wala kuzimu "ibu"
 
leseni na tin no vyote vina jina langu, mikataba ya zamani ndio nazidi kuisaka maana nilipohama vitu vingi sijui viko wapi.
relax tafuta taratibu utaipata tu, haki iko upande wako hata kama kuna makosa machache umeyafanya na kumpa huyo mwizi fursa ya kukuibia
 
leseni na tin no vyote vina jina langu, mikataba ya zamani ndio nazidi kuisaka maana nilipohama vitu vingi sijui viko wapi.

kama ni hivyo basi wala usijali sana.Relax na usikurupuke katika ishu hyo. Endelea kukusanya data ambazo zitaidhinisha umiliki wako wa kila kitu
 
Nawasalimuni ndugu zangu ktk jina la Bwana...

Story iko hivi,

Nilikua na biashara zangu nami nikaweka vijana 3, lakini kati ya hao watatu wawili niliwaweka katika biashara moja lakini kama ilivyokawaida nikamchagua mmoja ambae anaitwa ibu awe msimamizi wa ile biashara. Nimekaa nae huu ni mwaka wa nne ss, nimemfanya kama mtoto wa nyumbani.

Basi kwakua ibu alikua anasimamia biashara vzr nilimwamini kupita mtu yeyote, na ikatokea mwezi wa saba nikasafiri kama kawaida yng, nikamwachia maagizo kuwa alipe kodi ya frem na nyumba tunayoishi mwenyenyumba akitokea.

mwezi wa tisa nikarejea, masikini mie susan nilikuta biashara imeporomoka vby sana, chakwanza kufanya ilikua stock ambayo ilitoa jibu kuwa hakuna mtaji wala faida dukani. Nilichofanya nikamwita bb yk na ibu na baadhi ya ndg zng ambao tulikaa kikao ambacho baada ya kumbana sana ibu alikiri kuwa alinunua pikipiki 2 na laptop na akasema anavuta bangi na kunywa pombe kali na hela nyingine hajui zilipo kwakua yy hajachukua...

Nilihisi kupooza wapendwa ml 18,000 hazijulikani zilipo... basi nikaamua kumsimamisha kazi na kumwambia anikusanyie madeni yangu.

Tatizo nililolipata sasa, pamoja na hasara aliyonitia nikamsamehe, ibu amenigeuka vby...

wapendwa nilivyorudi kutoka ktk safari yng, nikahamia kwenye nyumba yangu mwenyewe jirani tu na ninakofanyia biashara zangu, lakini ile nyumba nuliyokua nimepanga sikua nimeirudisha kwa mwenyenyumba kwa kua mkataba wangu ulikua unaisha dec 9, niliwaacha wale vijana wengine 2 na baadhi ya vitu vyng ambavyo nikiwaza kuvihamisha kidogokidogo. Ndipo mwenyenyumba aliponipigia cm na kuniamuru nimpatie funguo za nyumba yake, nilipigwa na butwaa kwa muda, nilipomkatalia aliondoka kwa hasira na kilichofuata alivunja mle ndani na kuingiza vitu vyake, mke wake na mwanae pamoja na masela wenzie wakahamia ndani kwangu.

Baada ya mimi kupata hiyo taarifa niliripoti polisi, baada ya msaada wa polisi kijana wangu akagundua kua kunaupotevu wa fedha tsh 1,250,000, mwenyenyumba wangu akakamatwa ktk kutoa maelezo yake alisema hivi,nanukuu, "mimi nimepewa ruhusa ya kuvunja naaliyekua mpangaji wng bwana Ibu, huyu mama mm simtambui kabisa" ikabidi niwe mpole kwanza, ibu alikuwepo hapohapo alimsindikiza huyo mwenyepango wangu, akaaulizwa je nikweli? akasema ndio, akaulizwa kwa nn? akasema mm ndie nilieandikishana nae mkataba!! polisi niwaelezea mkasa mzima kama nilivyoowandikia ninyi wakawaambia mnamakosa, wakalazwa ndani kesho yk wakatika kwa dhamana.

jana nikawapeleka mahakamani, kesi tar 11.12.

SWALI
1.Ibu anasema yy anahaki kwakua signature niyakwake ktk mikataba na mwenyenyumba

2. Mwenyenyumba hanitambui tena, anamtambua Ibu kama mpangaji wake halali

3. Ibu anasema hata ktk ile biashara alikua na ubia nayo kwakua risit zote za manunuzi aliandika jina lake.

4. JE KUTOKANA NA MAELEZO YANGU SHERIA INAWEZA KUNITAMBUA KAMA MMILIKI HALALI WA BIASHARA YANGU?

5. JE SHERIA INAWEZA KUNITETEA KTK MIKATABA YA NYUMBA NA FREM AMBAZO IBU ALISAIN KUPITIA JINA LAKE?

*** JE WAKISHINDA KESI ITAKUAJE???

WENU SUSAN KATIKA KIPINDI KIGUMU...

Uko mkoa gani?
 
Kuna sheria na kuna uhalisia wa mambo, source ya mtaji wako ilikua nini? Je kama Mr. Ibu akidai kuwa yeye ndio mwenye mali source ya mtaji wake aliipataje? Tatu, mkataba wa kwanza kabisa uko wapi|? Nne wakitiwa kashkash tu kidogo wanalainika hao, wee njoo tule kitimoto kwanza

mhhhhh! nimerelax....
 
Nawasalimuni ndugu zangu ktk jina la Bwana...

Story iko hivi,

Nilikua na biashara zangu nami nikaweka vijana 3, lakini kati ya hao watatu wawili niliwaweka katika biashara moja lakini kama ilivyokawaida nikamchagua mmoja ambae anaitwa ibu awe msimamizi wa ile biashara. Nimekaa nae huu ni mwaka wa nne ss, nimemfanya kama mtoto wa nyumbani.

Basi kwakua ibu alikua anasimamia biashara vzr nilimwamini kupita mtu yeyote, na ikatokea mwezi wa saba nikasafiri kama kawaida yng, nikamwachia maagizo kuwa alipe kodi ya frem na nyumba tunayoishi mwenyenyumba akitokea.

mwezi wa tisa nikarejea, masikini mie susan nilikuta biashara imeporomoka vby sana, chakwanza kufanya ilikua stock ambayo ilitoa jibu kuwa hakuna mtaji wala faida dukani. Nilichofanya nikamwita bb yk na ibu na baadhi ya ndg zng ambao tulikaa kikao ambacho baada ya kumbana sana ibu alikiri kuwa alinunua pikipiki 2 na laptop na akasema anavuta bangi na kunywa pombe kali na hela nyingine hajui zilipo kwakua yy hajachukua...

Nilihisi kupooza wapendwa ml 18,000 hazijulikani zilipo... basi nikaamua kumsimamisha kazi na kumwambia anikusanyie madeni yangu.

Tatizo nililolipata sasa, pamoja na hasara aliyonitia nikamsamehe, ibu amenigeuka vby...

wapendwa nilivyorudi kutoka ktk safari yng, nikahamia kwenye nyumba yangu mwenyewe jirani tu na ninakofanyia biashara zangu, lakini ile nyumba nuliyokua nimepanga sikua nimeirudisha kwa mwenyenyumba kwa kua mkataba wangu ulikua unaisha dec 9, niliwaacha wale vijana wengine 2 na baadhi ya vitu vyng ambavyo nikiwaza kuvihamisha kidogokidogo. Ndipo mwenyenyumba aliponipigia cm na kuniamuru nimpatie funguo za nyumba yake, nilipigwa na butwaa kwa muda, nilipomkatalia aliondoka kwa hasira na kilichofuata alivunja mle ndani na kuingiza vitu vyake, mke wake na mwanae pamoja na masela wenzie wakahamia ndani kwangu.

Baada ya mimi kupata hiyo taarifa niliripoti polisi, baada ya msaada wa polisi kijana wangu akagundua kua kunaupotevu wa fedha tsh 1,250,000, mwenyenyumba wangu akakamatwa ktk kutoa maelezo yake alisema hivi,nanukuu, "mimi nimepewa ruhusa ya kuvunja naaliyekua mpangaji wng bwana Ibu, huyu mama mm simtambui kabisa" ikabidi niwe mpole kwanza, ibu alikuwepo hapohapo alimsindikiza huyo mwenyepango wangu, akaaulizwa je nikweli? akasema ndio, akaulizwa kwa nn? akasema mm ndie nilieandikishana nae mkataba!! polisi niwaelezea mkasa mzima kama nilivyoowandikia ninyi wakawaambia mnamakosa, wakalazwa ndani kesho yk wakatika kwa dhamana.

jana nikawapeleka mahakamani, kesi tar 11.12.

SWALI
1.Ibu anasema yy anahaki kwakua signature niyakwake ktk mikataba na mwenyenyumba

2. Mwenyenyumba hanitambui tena, anamtambua Ibu kama mpangaji wake halali

3. Ibu anasema hata ktk ile biashara alikua na ubia nayo kwakua risit zote za manunuzi aliandika jina lake.

4. JE KUTOKANA NA MAELEZO YANGU SHERIA INAWEZA KUNITAMBUA KAMA MMILIKI HALALI WA BIASHARA YANGU?

5. JE SHERIA INAWEZA KUNITETEA KTK MIKATABA YA NYUMBA NA FREM AMBAZO IBU ALISAIN KUPITIA JINA LAKE?

*** JE WAKISHINDA KESI ITAKUAJE???

WENU SUSAN KATIKA KIPINDI KIGUMU...

Mambo kama haya hutokea kama Ibu ulimfanya kuwa mpenzi wako maana haingii akilini nyumba ukodishe wewe sign apige ibu si ubwege huo?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom