Mfanyakazi wangu kanigeuka, nimemfungulia shitaka, wanasheria nisaidieni

SUZANE

SUZANE

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Messages
746
Likes
56
Points
45
SUZANE

SUZANE

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2010
746 56 45
Nawasalimuni ndugu zangu ktk jina la Bwana...

Story iko hivi,

Nilikua na biashara zangu nami nikaweka vijana 3, lakini kati ya hao watatu wawili niliwaweka katika biashara moja lakini kama ilivyokawaida nikamchagua mmoja ambae anaitwa ibu awe msimamizi wa ile biashara. Nimekaa nae huu ni mwaka wa nne ss, nimemfanya kama mtoto wa nyumbani.

Basi kwakua ibu alikua anasimamia biashara vzr nilimwamini kupita mtu yeyote, na ikatokea mwezi wa saba nikasafiri kama kawaida yng, nikamwachia maagizo kuwa alipe kodi ya frem na nyumba tunayoishi mwenye nyumba akitokea.

Mwezi wa tisa nikarejea, masikini mie susan nilikuta biashara imeporomoka vby sana, chakwanza kufanya ilikua stock ambayo ilitoa jibu kuwa hakuna mtaji wala faida dukani. Nilichofanya nikamwita babs yake na Ibu na baadhi ya ndg zng ambao tulikaa kikao ambacho baada ya kumbana sana ibu alikiri kuwa alinunua pikipiki 2 na laptop na akasema anavuta bangi na kunywa pombe kali na hela nyingine hajui zilipo kwakua yeye hajachukua...

Nilihisi kupooza wapendwa ml 18 hazijulikani zilipo... basi nikaamua kumsimamisha kazi na kumwambia anikusanyie madeni yangu.

Tatizo nililolipata sasa, pamoja na hasara aliyonitia nikamsamehe, ibu amenigeuka vby...

Wapendwa nilivyorudi kutoka ktk safari yangu, nikahamia kwenye nyumba yangu mwenyewe jirani tu na ninakofanyia biashara zangu, lakini ile nyumba nuliyokua nimepanga sikua nimeirudisha kwa mwenyenyumba kwa kua mkataba wangu ulikua unaisha dec 9, niliwaacha wale vijana wengine 2 na baadhi ya vitu vyng ambavyo nikiwaza kuvihamisha kidogokidogo. Ndipo mwenye nyumba aliponipigia cm na kuniamuru nimpatie funguo za nyumba yake, nilipigwa na butwaa kwa muda, nilipomkatalia aliondoka kwa hasira na kilichofuata alivunja mle ndani na kuingiza vitu vyake, mke wake na mwanae pamoja na masela wenzie wakahamia ndani kwangu.

Baada ya mimi kupata hiyo taarifa niliripoti polisi, baada ya msaada wa polisi kijana wangu akagundua kua kuna upotevu wa fedha tsh 1,250,000, mwenyenyumba wangu akakamatwa ktk kutoa maelezo yake alisema hivi, nanukuu, "mimi nimepewa ruhusa ya kuvunja naaliyekua mpangaji wng bwana Ibu, huyu mama mm simtambui kabisa" ikabidi niwe mpole kwanza, ibu alikuwepo hapohapo alimsindikiza huyo mwenyepango wangu, akaaulizwa je nikweli? Akasema ndio, akaulizwa kwa nn? akasema mm ndie nilieandikishana nae mkataba!! Polisi niwaelezea mkasa mzima kama nilivyoowandikia ninyi wakawaambia mna makosa, wakalazwa ndani kesho yake wakatika kwa dhamana.

Jana nikawapeleka mahakamani, kesi tar 11.12.

SWALI
1.Ibu anasema yy anahaki kwakua signature niyakwake ktk mikataba na mwenyenyumba

2. Mwenyenyumba hanitambui tena, anamtambua Ibu kama mpangaji wake halali

3. Ibu anasema hata ktk ile biashara alikua na ubia nayo kwakua risit zote za manunuzi aliandika jina lake.

4. JE KUTOKANA NA MAELEZO YANGU SHERIA INAWEZA KUNITAMBUA KAMA MMILIKI HALALI WA BIASHARA YANGU?

5. JE SHERIA INAWEZA KUNITETEA KTK MIKATABA YA NYUMBA NA FREM AMBAZO IBU ALISAIN KUPITIA JINA LAKE?

*** JE WAKISHINDA KESI ITAKUAJE???

WENU SUSAN KATIKA KIPINDI KIGUMU...
 
C

ck1

Member
Joined
Dec 19, 2011
Messages
63
Likes
0
Points
0
C

ck1

Member
Joined Dec 19, 2011
63 0 0
pole suzan nipigie nipigie tubadilishane mawazo 0713463004
 
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
6,864
Likes
181
Points
160
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
6,864 181 160
ni Pm sasa hivi namba yako ya sim. Pole
 
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
3,688
Likes
4,531
Points
280
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
3,688 4,531 280
Mkuu,nahc kama cjakuelewa vzr mahali,kwani huyu Ibu ilifikia mahali mkawa wapenzi?
Kama jibu ni ndyo achananae,fufua biashara zako then usimame cuz japo skufaham lkn kama uliweza kufungua miradi na ukaweza kuisimamia na ni mtoto wa kike basi ww bonge la Geneous
Achana na masuala ya kesi kwa kuwa kesi huwa zinagharimu muda na fedha,pia huwa zinatengeneza uhasama usioisha...Mungu atakusaidia na utasimama tena 4get about stupid Ibu let him go...na usipende sana kuwaamini watu kwenye mambo ya fedha hata kama atakuwa ni ndugu wa karibu!
 
goldie ink

goldie ink

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Messages
5,709
Likes
8,995
Points
280
Age
23
goldie ink

goldie ink

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2016
5,709 8,995 280
Trust no body

That's a challenge face it.
 
Bwana Mapesa

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Messages
2,531
Likes
1,400
Points
280
Bwana Mapesa

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2011
2,531 1,400 280
Nawasalimuni ndugu zangu ktk jina la Bwana...

Story iko hivi,

Nilikua na biashara zangu nami nikaweka vijana 3, lakini kati ya hao watatu wawili niliwaweka katika biashara moja lakini kama ilivyokawaida nikamchagua mmoja ambae anaitwa ibu awe msimamizi wa ile biashara. Nimekaa nae huu ni mwaka wa nne ss, nimemfanya kama mtoto wa nyumbani.

Basi kwakua ibu alikua anasimamia biashara vzr nilimwamini kupita mtu yeyote, na ikatokea mwezi wa saba nikasafiri kama kawaida yng, nikamwachia maagizo kuwa alipe kodi ya frem na nyumba tunayoishi mwenye nyumba akitokea.

Mwezi wa tisa nikarejea, masikini mie susan nilikuta biashara imeporomoka vby sana, chakwanza kufanya ilikua stock ambayo ilitoa jibu kuwa hakuna mtaji wala faida dukani. Nilichofanya nikamwita babs yake na Ibu na baadhi ya ndg zng ambao tulikaa kikao ambacho baada ya kumbana sana ibu alikiri kuwa alinunua pikipiki 2 na laptop na akasema anavuta bangi na kunywa pombe kali na hela nyingine hajui zilipo kwakua yeye hajachukua...

Nilihisi kupooza wapendwa ml 18 hazijulikani zilipo... basi nikaamua kumsimamisha kazi na kumwambia anikusanyie madeni yangu.

Tatizo nililolipata sasa, pamoja na hasara aliyonitia nikamsamehe, ibu amenigeuka vby...

Wapendwa nilivyorudi kutoka ktk safari yangu, nikahamia kwenye nyumba yangu mwenyewe jirani tu na ninakofanyia biashara zangu, lakini ile nyumba nuliyokua nimepanga sikua nimeirudisha kwa mwenyenyumba kwa kua mkataba wangu ulikua unaisha dec 9, niliwaacha wale vijana wengine 2 na baadhi ya vitu vyng ambavyo nikiwaza kuvihamisha kidogokidogo. Ndipo mwenye nyumba aliponipigia cm na kuniamuru nimpatie funguo za nyumba yake, nilipigwa na butwaa kwa muda, nilipomkatalia aliondoka kwa hasira na kilichofuata alivunja mle ndani na kuingiza vitu vyake, mke wake na mwanae pamoja na masela wenzie wakahamia ndani kwangu.

Baada ya mimi kupata hiyo taarifa niliripoti polisi, baada ya msaada wa polisi kijana wangu akagundua kua kuna upotevu wa fedha tsh 1,250,000, mwenyenyumba wangu akakamatwa ktk kutoa maelezo yake alisema hivi, nanukuu, "mimi nimepewa ruhusa ya kuvunja naaliyekua mpangaji wng bwana Ibu, huyu mama mm simtambui kabisa" ikabidi niwe mpole kwanza, ibu alikuwepo hapohapo alimsindikiza huyo mwenyepango wangu, akaaulizwa je nikweli? Akasema ndio, akaulizwa kwa nn? akasema mm ndie nilieandikishana nae mkataba!! Polisi niwaelezea mkasa mzima kama nilivyoowandikia ninyi wakawaambia mna makosa, wakalazwa ndani kesho yake wakatika kwa dhamana.

Jana nikawapeleka mahakamani, kesi tar 11.12.

SWALI
1.Ibu anasema yy anahaki kwakua signature niyakwake ktk mikataba na mwenyenyumba

2. Mwenyenyumba hanitambui tena, anamtambua Ibu kama mpangaji wake halali

3. Ibu anasema hata ktk ile biashara alikua na ubia nayo kwakua risit zote za manunuzi aliandika jina lake.

4. JE KUTOKANA NA MAELEZO YANGU SHERIA INAWEZA KUNITAMBUA KAMA MMILIKI HALALI WA BIASHARA YANGU?

5. JE SHERIA INAWEZA KUNITETEA KTK MIKATABA YA NYUMBA NA FREM AMBAZO IBU ALISAIN KUPITIA JINA LAKE?

*** JE WAKISHINDA KESI ITAKUAJE???

WENU SUSAN KATIKA KIPINDI KIGUMU...
Sheria haiwezi kuwa na ushirikiano nawe kama hukuwahi kulipa kodi...Justification ya hiyo 18Ml ni muhimu kuliko chochote, usiwe na hofu juu ya hoja ambazo unahisi huna tangible evidence to prove, sabbu hata verbal communitions zinaweza kuwa sehemu ya mkataba.
 
BOB LUSE

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Messages
3,446
Likes
2,407
Points
280
BOB LUSE

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2014
3,446 2,407 280
Partnership by holding out! Kesi kwako ngumu mpaka uwe na vielelezo vya mikataba ya kazi na huyo IBU kuwa ulimwajiri,pili ushahidi wa kuaminika kuwa ulikuwa unamtuma,pia sehemu alizokuwa anasaini kulipwa mishajara na kuchukua hela hizo za kufanya malipo mbalimbali.vinginevyo kijana anahaki ya kuitwa Mbia kwakuwa majukumu yote muhimu ulijivua kuyafanya,ukamwachia IBU,ulipaswa kuandaa mikataba kwenye jina lako,ulipaswa kuhakikisha kila kinachonunuliwa kina jina lako/la biashara.ulipaswa kuomba ushauri wa kuendesha biashara kwa ufanisi kabla ya haya hayajatokea.polisi wanataka kula hela zako lakini kesi ni ngumu kila upande,IBU anaweza hata kusema wewe ni partner,ikawa ngumu kupangua kwakuwa kila mtu alikuwa anamuona pale kila Siku na kufanya lolote analolitaka.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
82,183
Likes
121,794
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
82,183 121,794 280
Huu uzi ni karibu wa miaka mitano iliyopita.
 
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
3,857
Likes
3,690
Points
280
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
3,857 3,690 280
Partnership by holding out! Kesi kwako ngumu mpaka uwe na vielelezo vya mikataba ya kazi na huyo IBU kuwa ulimwajiri,pili ushahidi wa kuaminika kuwa ulikuwa unamtuma,pia sehemu alizokuwa anasaini kulipwa mishajara na kuchukua hela hizo za kufanya malipo mbalimbali.vinginevyo kijana anahaki ya kuitwa Mbia kwakuwa majukumu yote muhimu ulijivua kuyafanya,ukamwachia IBU,ulipaswa kuandaa mikataba kwenye jina lako,ulipaswa kuhakikisha kila kinachonunuliwa kina jina lako/la biashara.ulipaswa kuomba ushauri wa kuendesha biashara kwa ufanisi kabla ya haya hayajatokea.polisi wanataka kula hela zako lakini kesi ni ngumu kila upande,IBU anaweza hata kusema wewe ni partner,ikawa ngumu kupangua kwakuwa kila mtu alikuwa anamuona pale kila Siku na kufanya lolote analolitaka.
Hii iko ktk business law,kipengele cha law of contract na mamlaka ya third party ktk mkataba.Kwa ufupi hakuna mkataba wa wewe na ibu na pia hakuna mkataba wa ibu na mwenye nyumba ila kuna makubaliano na si kila makubaliano ni mkataba.Mkataba una vipengele saba ili uitwe mkataba na kila kipengele kina undani wake.
Kuna mambo mengi kimsingi yanayokubana wewe na yanayombana ibu kisheria ambayo yakichanganuliwa mwisho wa siku unabakia na haki yako na kumfunga ibu kwa kosa la jinai yaani kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu.
Kuuza mali za mtu zenye jina lake kuna sheria zake.Huo mpango umeratibiwa kati ya wazazi wa Ibu ,mwenye nyumba,wafanya kazi ili kukuharibia.
Kisheria utawakamata padogo sana kwa kuwa hakuna mkataba kisheria bali makubaliano.
Ikiwa una conversation yoyote ya charting ya kikazi kati yako na Ibu hiyo ndiyo itakayokufanya uingie ulingoni na aeleze iliruhusu nini na kwa nini kwa kuwa yy Ibu atakukataa kuwa hakujui ktk biashara sasa unatumia evidence za simu chat kumvuta kisha kumuuliza critical questions.
 
Forum statistics

Threads 1,252,180
Members 482,015
Posts 29,799,241