Mfanyakazi wa Ubalozi wa Canada adaiwa kumtemea mate Polisi

kweli kumrudisha kwao bila hatua zozote za kisheria kweli ni haki hiyo alafu akuna lolote analokwenda kufanyia uko
 
kweli kumrudisha kwao bila hatua zozote za kisheria kweli ni haki hiyo alafu akuna lolote analokwenda kufanyia uko

Dr,

Umesoma posts za juu kuhusu diplomatic immunity hapo juu?

Umesoma kuhusu the suggested litigious and conentious possible way of launching a suit against the government of Canada, using Canadian lawyers in Canadians courts?
 
Back
Top Bottom