Mfanyakazi wa Stationery anahitajika haraka

Babu Kijana

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
492
250
Msichana wa kazi ya stationery anahitajika Dar Kinondoni awe na sifa zifuatazo;1. Elimu ya kidato cha nne
2. Kuongea na kuandika Kiswahili na kiingereza kwa ufasaha
3. Ujuzi wa computer;Adobe photoshop, Microsoft word, excel, publisher na powerpoint
4. Ajue kutumia photocopy, scanner, printer, lamination, binding machines, kupiga picha za passport size, kuburn CD na DVD, n.k
5. Awe anaishi maeneo ya Kinondoni au maeneo ya jirani
6. Awe tayari kufanya Kazi kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa tatu usiku
7. Umri kati ya miaka 17 mpaka 25
8. Awe mwaminifu, tabia nzuri na kauli nzuri kwa wateja.


Biashara ndio imeanza ipo maeneo ya Kinondoni Muslims awe mvumilivu na tufanye kazi kwa uaminifu bila kufatiliana na mshahara ni maelewano na ndio maana katika vigezo ni kuwa awe anaishi maeneo ya Kinondoni au karibu ili kuepusha gharama za usafiri na muda.
Mwenye kumjua anaetafuta au anaetaka kazi anipm na nitampa contact zangu.
Shukrani.
 

Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,799
2,000

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom