Mfanyakazi wa stationary anahitajika

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Aug 23, 2010
6,015
9,733
Nahitaji mfanyakazi wa stationary ipo maeneo ya wilaya ya kinondoni...
Sifa za muombaji...
1. Umri miaka 21-29
2. Awe mchapa kazi mzuri na muaminifu...
3. Awe anazijua kazi za stationary vizuri.....
4. Awe na uwezo wa kufanya kazi under pressure...

Malipo ni maelewano ....
Mwenye kuhitaji ajira hii ani PM.
 
jamani, ningekuwa dar ningekupm hata km umri umepita tungeongea tu. ila ndo hivo nipo mkoani, ila asante kwa ajira bana.
 
Mm nipo tayar kufanya hyo kazi,nimemaliza kidato cha 6 na nimesomea computer miezi 9.nijuulishe kwa namba yngu ya simu 0763780006 au 0774362316.kwan si mara nyngi kuingia mtandaoni
 
mshahara wa laki moja utatafuta sana vijana tujifunze kjiajiri hiyo ni hela ya kupata kwa siku tatu
 
Mshahara kwa jinsi ulivyo mdogo hadi unaona aibu kuutaja.

Mshahara mdogo unaanzia shillingi ngapi na mkubwa unaanzia shillingi ngapi bosi wangu???
Kazi ngapi wanatangaza mshahara hadharani???? Unajua maana ya maelewano??? I thought it was a right place kutangaza tusaidiane..!!!
 
mshahara wa laki moja utatafuta sana vijana tujifunze kjiajiri hiyo ni hela ya kupata kwa siku tatu

Ungeanzisha thread yako ya kushauri watu wajiajiri mkuu...hata ukiwa mshahara wa buku cha muhimu umepata kwa haki na umeridhika ndio maana ya maelewano....by the way asante kwa mchango wako....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom