Mfanyakazi wa Serikali Wapandishwapo Vyeo na Kutolipwa Mshahara Mpya kwa Mwaka na Nusu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfanyakazi wa Serikali Wapandishwapo Vyeo na Kutolipwa Mshahara Mpya kwa Mwaka na Nusu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Juma. W, Nov 5, 2011.

 1. J

  Juma. W Senior Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli watu hawalipwi, unapewa barua ya kupanda cheo halafu unakaa mwaka na kitu kwa mshahara wa zamani. what is going on now???
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mkuu huko govt unachotakiwa ni kutumia huu muda wa bure kufanya vitu vya maana kama vile kusoma then ukisharidhika na elimu yako uanchotakiwa ni kusepa tu. Ukijizoeza na kazi za huko utaishia kuwa mwizi tu maana kila siku utajiona uko nyuma kimaisha
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mie nshaamua kuwekeza kwenye elimu kwa muda nkishamaliza naachana nao kwa amani maana bugumashi ni za kumwaga serikalini ingawa wachache wanafaidi sana, na ndio huo ufisadi unaosikika kila uchao
   
 4. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu hii kitu inakera sana!Nimepandishwa cheo tangu tarehe 1nov2010.Leo ni mwaka na siku nne bado sijarekebishiwa mshahara,tena bila maelezo yeyote!Haya mambo ndiyo yanayoishushia hadhi serikali yetu na kusababisha chuki zisizo za lazima!ila ki msingi inakera sana sana!
   
 5. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  umesomeka vyema mkuu
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hapo hujapandishwa
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hii ni kweli kabisa, kuna ndugu huu mwaka wa pili toka amepandishwa cheo lakini anadaka bado mshahara wa zamani.
   
Loading...