- Thread starter
- #61
Aliyekuambia kuwa hizo ni ada peke yake nani?? Zinaweza kuwa ada na hela za accomodation, meals, practical training etc
mwambie huyo maana mbish kama Kamongo
Aliyekuambia kuwa hizo ni ada peke yake nani?? Zinaweza kuwa ada na hela za accomodation, meals, practical training etc
please.naomba jina la Mtuhumiwa,alisoma wapi.mara unasikia kasoma st, st,st tu
huu ndo upumbavu wa serikali yetu,mnasema hamna hela lakini mtu anaiba mpaka 90 mil.......crap
Acheni kubwabwaja wanaJF
nchi kila mtu anakula urefu wa kamba yake,kama yako fupi pole.
waliokwapua za EPA wako wapi???
Ni maarufu sana pale bodi ya mikopo huyu mdada,mi mwenyewe walikula laki nne yangu hawa,yeye ndo alikuwa anashughulikia mikopo ya watu wa IFM.Jina lake ESTHER BUDILI ni very familiar kwangu... Nimemfahamia wapi huyu...
pesa si zinatumwa chuoni? Atazichukuaje wakati zikifika chuoni wanaingiziwa wanafunzi kwenye account zao.
Kwa tanzania taasisi karibu zote zinakosa kitu kinachoitwa business ethics vinginevyo madudu kama haya hayawezi kutokea, mfano kama utaratibu ni pesa anaingiziwa mwanafunzi kwenye akaunti yake, na inafanyika hivyo hakuna mtu anaweza kufoji majina 91 ya benk akaunti
RA, amesoma st wapi?
it is a network my friend
ni kama pesa za bima ya afya
huwa ndio ipo hivyo itabidi waanze na huyu halafu awataje na wenzake wote kitanzi tutaheshimiana..
Kesi imeisha na hukumu ni: TUMESidhani kama tutajuzwa maendeleo ya kesi