MUAROBAINI ULIOKOMAA
Member
- May 4, 2013
- 91
- 25
Mwenge ni mfanyakazi hewa hatari kuliko wote waliowahi kutajwa.
Dk Magufuli mtumbue huyu anawaumiza Watanzania kwa namna mbili; kiuchumi(bajeti yake), kiafya(UKIMWI kusambaa kwa kasi wakati wa sherehe zake).