Mfanyakazi CRDB afikishwa Mahakamani kwa kumuibia mteja zaidi ya Tsh milioni 100 na kuzitakatisha

If possible anyongwe mpaka kufa pale viwanja vya karume ..Waliwahi nichomolea hela zangu hawa mbuzi ...Nasema Tena bila aibu naomba anyongwe bila huruma mpaka pale Israel mtoa roho akichomoa roho yake bila huruma
mbaya zaidi ndio wanawagongea madem zenu, unawaakuta mlimani City pale Samaki Samaki wakiwinda, na wanakula kweli vitoto vizuri
 
Mafala wanasema milion 100 kwa mtu tatu ndogo huku thamani yake kwa ujumla yeye na anavomiliki ni 2milion na anaishi kwa wazazi
Milion 100 kwa watu 3 Ni kubwa ila itakuwa ndogo Kama itatolewa kwa mafungu mafungu na hyo inetolewa kwa installment sio yote ndio maana watu wanasema Ni ndogo mkuu

Na pia unaweza ukapewa milion 50 Sasa kama. Huna plan nzuri n ndogo pia kwahyo pesa kuwa kubwa au ndogo Ni wewe mwenyewe unaiweka vp na unaichukuliaje lakin kwa hyo hela kwa bata Ni ndogo Sana Kuna hotel zipo tz Ni 15- 50M per day Sasa kwann isiwe ndogo
 
hapa ni kuwa na account benki tofauti tofauti
Lakini pia usitembee na cash nyingi
Sikuhz kuna transfer na kuswipe card ukifanya manunuzi
Ama kuhamishia kuja mobile money kutoka benki na kutumia watu kwny simu zao
Huna haja ya kuzunguka na mapesa meengi
 
Lakini pia usitembee na cash nyingi
Sikuhz kuna transfer na kuswipe card ukifanya manunuzi
Ama kuhamishia kuja mobile money kutoka benki na kutumia watu kwny simu zao
Huna haja ya kuzunguka na mapesa meengi
waht do you mean kuswipe card???
 
Unafanya manunuzi afu hutoi cash wanatoa kutoka benki na ATM kadi yako hapo dukani
Credit cards sijui km bongo zipo sana
Naona tunatumia Debit Cards
Zipo mkuu , kwasasa naona maduka mengi yanapokea malipo kwa visa .. Hata migawaha kadhaa kwasasa wanapokea malipo kwa visa card
 
Mkuu nilikaa miezi sita sijaenda bank kuchukua.mshahara wangu, jamaa akajibinafsisha bila wasiwasi nadhani alifikiri nimekufa, siku naibuka kila nikiuliza sipati ushirikiano kumbe bahati mbaya yeye ndiye ninayemuuliza tatizo langu, mwisho akasema ofisi walikuwa hawanipelekei mshahara, nikamjibu nipo Accounts tena salaries na mleta cheque anachukua kwangu baadae nikarudi na docs zote hadi Kwa meneja wake akaitwa akaonywa nikapewa pesa yangu, mwezi iliofuata kabeba tena nikamshtaki baadae sikumuona tena.maeneo yale na mshahara wangu nikawa naupata bila tatizo. Haya.matatizo mengi yanachangiwa na wafanyakazi ambao sio waaminifu, sasa Mimi haikuiwa CRDB ni nyingine kabisa
wanachofanya hao wafanyabiashara na wafanyakazi wa benki wanabeba pesa za wateja wenye pesa ndefu halafu hawana tabia ya kuwithdrawal mara kwa mara, wakishachukua pesa wanazizungusha kwenye biashara halafu baadae wanazirudisha
 
Back
Top Bottom