Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,921
hapa ni kuwa na account benki tofauti tofautiKatoka na cash anaenda site
Boda boda wakamvamia na bastola kagoma kuzitoa wakamuua wakachukua pesa
Js imagine
hapa ni kuwa na account benki tofauti tofautiKatoka na cash anaenda site
Boda boda wakamvamia na bastola kagoma kuzitoa wakamuua wakachukua pesa
Js imagine
mbaya zaidi ndio wanawagongea madem zenu, unawaakuta mlimani City pale Samaki Samaki wakiwinda, na wanakula kweli vitoto vizuriIf possible anyongwe mpaka kufa pale viwanja vya karume ..Waliwahi nichomolea hela zangu hawa mbuzi ...Nasema Tena bila aibu naomba anyongwe bila huruma mpaka pale Israel mtoa roho akichomoa roho yake bila huruma
Kwa hiyo drugs is nice way of acquiring riches?Black Americans ndiyo waliasisi hii slogan wakimaanisha commitment katika drug deals huko New York!!! na sio wizi,kuiba mali za watu it's not gangsta
Ndio michezo yao hyo kuwa makini Sanakumbe ndo michezo yao
Milion 100 kwa watu 3 Ni kubwa ila itakuwa ndogo Kama itatolewa kwa mafungu mafungu na hyo inetolewa kwa installment sio yote ndio maana watu wanasema Ni ndogo mkuuMafala wanasema milion 100 kwa mtu tatu ndogo huku thamani yake kwa ujumla yeye na anavomiliki ni 2milion na anaishi kwa wazazi
Muhimu sana ndugukumbe ni muhimu kuomba bank statement
Lakini pia usitembee na cash nyingihapa ni kuwa na account benki tofauti tofauti
Watu wanasema ndogo cz ts not worth it ukafungwa 10 yrs labda cz of mil 33Mafala wanasema milion 100 kwa mtu tatu ndogo huku thamani yake kwa ujumla yeye na anavomiliki ni 2milion na anaishi kwa wazazi
Acha umbea bwana mdogo. Weka ushahidi hapasana, hata kwenye simu voda huiba mchana kweupe
unajiunga bando ,let say la dakika 50, ukipiga dakika 20 unaambiwa huna salio, hizo nyingine ni gambosh wa sumbawanga wameiba?Acha umbea bwana mdogo. Weka ushahidi hapa
waht do you mean kuswipe card???Lakini pia usitembee na cash nyingi
Sikuhz kuna transfer na kuswipe card ukifanya manunuzi
Ama kuhamishia kuja mobile money kutoka benki na kutumia watu kwny simu zao
Huna haja ya kuzunguka na mapesa meengi
Unafanya manunuzi afu hutoi cash wanatoa kutoka benki na ATM kadi yako hapo dukaniwaht do you mean kuswipe card???
Zipo mkuu , kwasasa naona maduka mengi yanapokea malipo kwa visa .. Hata migawaha kadhaa kwasasa wanapokea malipo kwa visa cardUnafanya manunuzi afu hutoi cash wanatoa kutoka benki na ATM kadi yako hapo dukani
Credit cards sijui km bongo zipo sana
Naona tunatumia Debit Cards
Mafala wanasema milion 100 kwa mtu tatu ndogo huku thamani yake kwa ujumla yeye na anavomiliki ni 2milion na anaishi kwa wazazi
Visa card hio ni Debit ama Credit card?.Zipo mkuu , kwasasa naona maduka mengi yanapokea malipo kwa visa .. Hata migawaha kadhaa kwasasa wanapokea malipo kwa visa card
wanachofanya hao wafanyabiashara na wafanyakazi wa benki wanabeba pesa za wateja wenye pesa ndefu halafu hawana tabia ya kuwithdrawal mara kwa mara, wakishachukua pesa wanazizungusha kwenye biashara halafu baadae wanazirudisha