Mfanyakazi bora mwaka 2010/2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfanyakazi bora mwaka 2010/2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TheChoji, Jun 29, 2011.

 1. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Mi nampendekeza uyu jamaa wa tanesco aliekabidhiwa lile swichi la kukatia umeme apewe tuzo ya mfanyakazi bora mwaka huu maana amevuka malengo ya ukataji umeme. Kwakweli utendaji wake unaridhisha sana.. Ananifurahisha zaidi jinsi anavyowahi kufika ofisini, anawahi kutekeleza jukumu lake hata kabla ya muda, na ni wa mwisho kuondoka ofisini, huku siku nyingine akisahau kabisa kuwarudishia umeme wale aliowakatia na kuzidi kuinufaisha kampuni. Hongera!
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,507
  Trophy Points: 280
  Mi nampendekeza thechoji kwa kuwa ni mbunifu.
   
 3. Amanda

  Amanda Senior Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono hoja
   
 4. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Absolutely you are right indeed!!
   
Loading...