MFANYAKAZI ANAHITAJIKA

nyantumba

Senior Member
May 22, 2016
166
265
Habari za asubuhi wakuu, natafuta mdada wa kazi za nyumbani, mkoa wa Arusha, awe mtu mzima kidogo anayejielewa na ajue kazi zote. nyumba ina watu 4 tu. baba na mama na mabinti wawili wa secondary. mshahara elfu 80 akionekana anajua zaidi itaongezeka Kadri muda unavyosonga.
serious anione DM
 
Nakushauri tu boss
Hao mabinti wawili wa sekondari wapangie ratiba wafanye kazi hata kama ukipata dada wa Kazi.
Na ikiwezekana wafanye Kazi wenyewe bila dada wa Kazi hii itawasaidia kujua kazi za ndani kwa ufasaha na itawasaidia kwenye maisha yao ya baadaye.
Samahani sana kwa ushauri wangu nitakuwa nimeenda kinyume na matakwa yako boss.
Narudia tena nisamehe!
 
Dah umeongea point sana mkuu.
Wengi huwa wanabweteka na badae wanakuja kuwa mazezeta yaani hadi anafikia umri wa kuolewa na hajui hata kuwasha jiko.
 
Habari za asubuhi wakuu, natafuta mdada wa kazi za nyumbani, mkoa wa Arusha, awe mtu mzima kidogo anayejielewa na ajue kazi zote. nyumba ina watu 4 tu. baba na mama na mabinti wawili wa secondary. mshahara elfu 80 akionekana anajua zaidi itaongezeka Kadri muda unavyosonga.
serious anione DM
Arusha upo mtaa gani mkuu?
Na je huyo mfanyakazi atakuwa analala huko huko kwako au anakuja na kuondoka jioni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom