Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Joseph Mbilinyi aahirisha kuhamishia biashara zake South Africa ili kumpa nafasi Rais mpya

View attachment 1753657

Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali wawekezaji.

Sugu tayari alishapata ofa ya kupewa maeneo ya kuwekeza kwenye nchi tatu za Africa ikiwemo Zambia, Malawi na South Africa, hata hivyo ameahirisha mpango huo baada ya kusikia maneno kutoka kwa Rais mpya aliyesisitiza wawekezaji kutendewa haki .

Sasa tuendelee kusikilizia kama yanayosemwa na Mh Rais ndio yatakayojiri.
Wala asisubiri ahamishe tu maana kodi atakabwa tu kulipa. Uwekezaji wa dezo asitegemee utarudi. Jpm na samia wanyonge walitoa kura zao kwa asilimia 84.4 usitegemee furaha kama mwekezaji mwizi.
 
Kwan akisikilizia kimya kimya bila kutangaza atapungukiwa nin? anatafuta attention tu huyo kijana wa chadema.
Toka ukiwa kwenye kende za baba yako unajinusuru na masterbation Sugu alikuwa na attention tayari.
Unazungumzia attention ipi?
 
Hata Manji yupo kwenye ukarabati wa magofu yake Quality yaliota nyasi na buibui alipotakiwa aishi kishetani huku watz zaidi ya elf 2 wakilazimishwa kukosa Kazi, sababu ya chuki binafsi aliyepewa kapewa kumshusha humuwezi.
"Ndani ya Utawala wangu tajiri anaweza fanywa chochote"
" Tahakikisha matajiri wanaishi kama mashetani"
" Hadi kufika june 2017 nasema atakaebakia mjini ni mwanaume"

And then what next.
 
Huwezi wasaidia masikini kwa kuwaumiza matajiri.Bali watumie matajiri kuwasaidia masikini.Mungu alipoweka matajiri hakukosea ni Ili masikini wamuabudu Mungu kupitia matajiri kwa maana wapate ujira wao baada ya Kazi Ili wapate kula na familia zao na pili Ili wakamtolee sadaka Mwenyezi Mungu,
 
Hata Manji yupo kwenye ukarabati wa magofu yake Quality yaliota nyasi na buibui alipotakiwa aishi kishetani huku watz zaidi ya elf 2 wakilazimishwa kukosa Kazi, sababu ya chuki binafsi aliyepewa kapewa kumshusha humuwezi.
"Ndani ya Utawala wangu tajiri anaweza fanywa chochote"
" Tahakikisha matajiri wanaishi kama mashetani"
" Hadi kufika june 2017 nasema atakaebakia mjini ni mwanaume"

And then what next.
kang'oka yeye
 
Yaani hawa jamaa wenye Akili nyingi ni wao matajiri ni wao Wajanja ni wao kweli 2nyi nae ni Mfabiashara na mwekekezaji na kuandikwa hapa Jukwaani tunapoteza ile falsafa yetu ya the Greater Thinkers na kuwa Less Thinkers
 
Angekuwa mwarabu ungemsujudia !
 
Back
Top Bottom