Mfanyabiashara maarufu atoa dollar $200,000 topiki za R.Mengi zirudishwe JF. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfanyabiashara maarufu atoa dollar $200,000 topiki za R.Mengi zirudishwe JF.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hasara, Sep 30, 2007.

 1. H

  Hasara Senior Member

  #1
  Sep 30, 2007
  Joined: Dec 29, 2006
  Messages: 144
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wasalamu wana JF mfanyabiashara maarufu nchini tanzania atoa dau la dollar laki mbili topiki za Muheshimiwa R.Mengi zirudishwe hapa JF. yes PM
   
 2. M

  Masatu JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2007
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,286
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Adm naona hii itafit zaidi kule kwenye nyepesi nyepesi
   
 3. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2007
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 981
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  haswa tena haraka sana
   
 4. green29

  green29 JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2007
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 313
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mfanya biashara maarufu hawezi kununua utu wetu!! Hoja za JF ni kilio chetu watanzania kuitetea na kuijenga nchi yetu. Sio lengo letu kutumika kama rungu kwa faida za mtu binafsi na ubinafsi ndio adui namba moja duniani. isitoshe utu wetu na utanzania wetu ni wa thamani sana, no price can buy utu wetu, hata mafisadi wana mwisho wao.
   
 5. O

  Ogah JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,208
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hasara Pleeaase!!
   
 6. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,751
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  kwanza hold up !
  nilitaka kuuliza kitu kuhusu wafanya biashara maarufu tanzania baadhi yao wakiwa nao pia kama wahujumu wa uchumi na mali za taifa, na wao wanahitaji kudiscuss-siwa ! so jina la mengi likipop out dont be suprised !
   
 7. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2007
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,593
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  JF is the back bone of ant-corruption Act. Mwambie we can discuss who ever we think is needed to be discussed at that particular moment, without to dicriminate his political agenta, social status or economical stability. So, at this particular time due to our ethical code, we are not interest with his offer.
   
 8. KadaMpinzani

  KadaMpinzani JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2007
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 3,751
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  i co-sign u ^^^^^^^^ !
   
 9. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2007
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 5,908
  Likes Received: 5,489
  Trophy Points: 280
  Yeah, i gotch ya!, good point, short and clear, factual like Newton's Third law of Motion. keep it up!
   
 10. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2007
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Watu wengine bwana.....
   
 11. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2007
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 705
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkubwa wangu Hasara. Mbona Habari ni nyingi sana za Siasa hapa Bongo,sasa mbona unataka kutupeleka Porini. Adm peleka Nyepesi.
   
 12. m

  mteteahaki Member

  #12
  Oct 24, 2007
  Joined: Mar 25, 2007
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo ni Manji nini...?
   
Loading...