Mfanyabiashara maarufu aliyehama chadema anusurika kifo kutoka redbrigade ya chadema

chadema ni majambazi

1387132465888.jpg
 
mods ondoa huu uongo hapa si pahala pake .wewe shetan ni muongo mkubwa sijui unapata faida gani kwa ushenzi wako, yaani nlivo anza tu kuisoma hii habar nkataman nimjue mtumaji nlivo ona ''taswira'' nkaanza kucheka.

Chadema ni zaidi ya magaidi! Ukipingana nao tu, watakuandama mpaka waku chacha wangwe!
 
mod naomba unipe ban kabla sijampakulia matusi mapyamapya niliyonayo kwenye kamusi yangu
 
Mfanyabiashara Maarufu aliyeongoza kampeni za Mbunge wa Arusha Mwaka 2010 Godbless Lema anayefahamika kwa jina la Mboya amenusurika kifo baada ya kuchomewa Nyumba yake usiku wa kuamkia Leo Tar.15.12.2013.

Mboya ndiye mfanyabishara anayetajwa kujitolea kwa hali na Mali kufanikisha ushindi wa lema pale arusha,Lakini Mapema Mwaka 2012 alihamia CCM kutokana na kutofautiana na CHADEMA na pia mikakati hatari aliyokuwa akishiriki ya kuratibu maandamano ya kuvuruga amani jiji la Arusha akishirikiana na uongozi wa CHADEMA Arusha na mbunge mwenyewe kumuingizia hasara kubwa ya biashara zake.

Kwenye mikutano ya CCM Mboya amekuwa akitoa ushuhuda mbalimbali ya mambo kadhaa ambayo lema anayafanya ya kuhujumu uchumi wa Arusha na namna alivyoshiriki vurugu kadhaa akishirikiana na Lema..Vurugu zilizokuwa zinakwenda sambamba na mabo ya kishirikina.

Katika TUKIO LA KUNUSIKA KIFO HII LEO Taarifa kwenye media na hata Sunrise. Zinasema "Mfanyabiashara marufu na Mwanasiasa machachari Mkoa wa Arusha Mr MBOYA anusurika kifo baada ya jaribio la kuchoma nyumba yake kushindikana sanane ya usiku leo, muhusika mkuu(KAMDE) Mkuu wa (RED BRIGADE ARUSHA) Polis wanamtafuta.

Huuu ni mwendelezo wa liletukio la Ofisi za CHADEMA kuchomwa moto ambapo taarifa za awali zinaoneasha wanachadema wao kwa wao ndio wanashikana uchawi kwa kuchoma ofisi zao.
Mods nipotayari kuwapa Ushirikiano kuthibitisha hili.

Ni Arusha sehemu gani?? Jina kamili la huyo Mboya please!!
Ilikuwaje mpaka hiyo nyumba ikachomwa?? Alikuwa ni mwanachama wa CDM kweli au?? Unaweza ukatupatia wasifu wake wa nje na wa ndani wa Mboya mpaka uanachama wake wa CDM mpaka CCM??
 
Mfanyabiashara Maarufu aliyeongoza kampeni za Mbunge wa Arusha Mwaka 2010 Godbless Lema anayefahamika kwa jina la Mboya amenusurika kifo baada ya kuchomewa Nyumba yake usiku wa kuamkia Leo Tar.15.12.2013.

Mboya ndiye mfanyabishara anayetajwa kujitolea kwa hali na Mali kufanikisha ushindi wa lema pale arusha,Lakini Mapema Mwaka 2012 alihamia CCM kutokana na kutofautiana na CHADEMA na pia mikakati hatari aliyokuwa akishiriki ya kuratibu maandamano ya kuvuruga amani jiji la Arusha akishirikiana na uongozi wa CHADEMA Arusha na mbunge mwenyewe kumuingizia hasara kubwa ya biashara zake.

Kwenye mikutano ya CCM Mboya amekuwa akitoa ushuhuda mbalimbali ya mambo kadhaa ambayo lema anayafanya ya kuhujumu uchumi wa Arusha na namna alivyoshiriki vurugu kadhaa akishirikiana na Lema..Vurugu zilizokuwa zinakwenda sambamba na mabo ya kishirikina.

Katika TUKIO LA KUNUSIKA KIFO HII LEO Taarifa kwenye media na hata Sunrise. Zinasema "Mfanyabiashara marufu na Mwanasiasa machachari Mkoa wa Arusha Mr MBOYA anusurika kifo baada ya jaribio la kuchoma nyumba yake kushindikana sanane ya usiku leo, muhusika mkuu(KAMDE) Mkuu wa (RED BRIGADE ARUSHA) Polis wanamtafuta.

Huuu ni mwendelezo wa liletukio la Ofisi za CHADEMA kuchomwa moto ambapo taarifa za awali zinaoneasha wanachadema wao kwa wao ndio wanashikana uchawi kwa kuchoma ofisi zao.
Mods nipotayari kuwapa Ushirikiano kuthibitisha hili.

Endeleeni na uzezeta wenu lakini iko wazi kuwa Arusha kuna msiba mkubwa sana kwa ccm kukataliwa....
 
Kwanza Mboya hakushiriki ktk kampeni za lema individual bali tulikuwa vijana wengi so hakuna atakayesema nlifanya mwenyewe.Then Mboya hana Ngawira za kuitwa mfanyabiashara mashuhuri,yeye uwezo wake ni kumiliki PREMIO anayoiendesha sasa.By the way Mboya ni hatari kwa jumuia yoyote anayoishiriki kwani MAFIA na anayependa kusikilizwa yeye na ubabe wake.
 
Mfanyabiashara Maarufu aliyeongoza kampeni za Mbunge wa Arusha Mwaka 2010 Godbless Lema anayefahamika kwa jina la Mboya amenusurika kifo baada ya kuchomewa Nyumba yake usiku wa kuamkia Leo Tar.15.12.2013.

Mboya ndiye mfanyabishara anayetajwa kujitolea kwa hali na Mali kufanikisha ushindi wa lema pale arusha,Lakini Mapema Mwaka 2012 alihamia CCM kutokana na kutofautiana na CHADEMA na pia mikakati hatari aliyokuwa akishiriki ya kuratibu maandamano ya kuvuruga amani jiji la Arusha akishirikiana na uongozi wa CHADEMA Arusha na mbunge mwenyewe kumuingizia hasara kubwa ya biashara zake.

Kwenye mikutano ya CCM Mboya amekuwa akitoa ushuhuda mbalimbali ya mambo kadhaa ambayo lema anayafanya ya kuhujumu uchumi wa Arusha na namna alivyoshiriki vurugu kadhaa akishirikiana na Lema..Vurugu zilizokuwa zinakwenda sambamba na mabo ya kishirikina.

Katika TUKIO LA KUNUSIKA KIFO HII LEO Taarifa kwenye media na hata Sunrise. Zinasema "Mfanyabiashara marufu na Mwanasiasa machachari Mkoa wa Arusha Mr MBOYA anusurika kifo baada ya jaribio la kuchoma nyumba yake kushindikana sanane ya usiku leo, muhusika mkuu(KAMDE) Mkuu wa (RED BRIGADE ARUSHA) Polis wanamtafuta.

Huuu ni mwendelezo wa liletukio la Ofisi za CHADEMA kuchomwa moto ambapo taarifa za awali zinaoneasha wanachadema wao kwa wao ndio wanashikana uchawi kwa kuchoma ofisi zao.
Mods nipotayari kuwapa Ushirikiano kuthibitisha hili.

Habari hii sio ya kweli na nimetoka kuongea na KAMDE muda mfupi uliopita na anasema hakuna ukweli wowote ya kwamba anatafutwa na alipoiona habari hii alifanya mawasiliano na jeshi la polisi na kuambiwa hakuna malalamiko yoyote yaliyowasilishwa polisi na kama yangekuwepo wangempigia simu. Taswira kuwa makini na vyonzo vyako vya habari.
 
Mkuu Mamuya,Arnod haitwi KAMDE,anaitwa KAMNDE
 
hawa mademu wanaokaa na kuandika habari za kijinga tukizidi kuwa chekea wata shusha heshima ya JF. kwani ni lazima uvute buku & hata kama huna cha maan cha kuandika... lakini hawasumbui akili maana imefika miaka michache chama cha kifisadi kina kwenda na maji na wakifanya wizi kama kawaida yao tutawanyoosha vizuri tu!
 
Endeleeni na uzezeta wenu lakini iko wazi kuwa Arusha kuna msiba mkubwa sana kwa ccm kukataliwa....

Kuna tofauti kubwa kati ya Arusha(Mkoa) na Arusha Mjini(Wilaya) , Kusema CCM imekataliwa Arusha ni upotoshaji mkubwa,CCM ina wabunge wengi Arusha kuliko CHADEMA.
 
Mboya ameanza kuchanganyikiwa baada ya kuchukua mkopo bank na kushindwa kurudisha na hatimaye mali zake kupigwa mnada kutokana na kutumia pesa hovyo za kuhonga wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo wa madiwani kwa lengo la kumkomoa Mh Lema lakini akaangukia pua kwa ccm kutopata hata diwani mmoja kati ya wanne.

Bwana Mboya nenda katubu dhambi hii maana huko unakoelekea ni kuwa CHIZI.
 
hii habari ipo kiudaku zaidi,kweli kuna mijitu imejaaliwa uongo.

nani yupo zamu coz hii id inatumiwa na masalia group waliojiunga lumumba na kupatiwa mpakato kwaajili ya umbeya na udaku!

Gamba At Work Buku 7 kazini.

Arusha hawadanganyiki buku Saba wewe

Mods nipotayari kuwapa Ushirikiano kuthibitisha hili.
Taswira,Sh.1150 iliyobaki utaenda chukua lumumba..
tanzaniacurrency.jpg
 
Back
Top Bottom