Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
mods ondoa huu uongo hapa si pahala pake .wewe shetan ni muongo mkubwa sijui unapata faida gani kwa ushenzi wako, yaani nlivo anza tu kuisoma hii habar nkataman nimjue mtumaji nlivo ona ''taswira'' nkaanza kucheka.
Mfanyabiashara Maarufu aliyeongoza kampeni za Mbunge wa Arusha Mwaka 2010 Godbless Lema anayefahamika kwa jina la Mboya amenusurika kifo baada ya kuchomewa Nyumba yake usiku wa kuamkia Leo Tar.15.12.2013.
Mboya ndiye mfanyabishara anayetajwa kujitolea kwa hali na Mali kufanikisha ushindi wa lema pale arusha,Lakini Mapema Mwaka 2012 alihamia CCM kutokana na kutofautiana na CHADEMA na pia mikakati hatari aliyokuwa akishiriki ya kuratibu maandamano ya kuvuruga amani jiji la Arusha akishirikiana na uongozi wa CHADEMA Arusha na mbunge mwenyewe kumuingizia hasara kubwa ya biashara zake.
Kwenye mikutano ya CCM Mboya amekuwa akitoa ushuhuda mbalimbali ya mambo kadhaa ambayo lema anayafanya ya kuhujumu uchumi wa Arusha na namna alivyoshiriki vurugu kadhaa akishirikiana na Lema..Vurugu zilizokuwa zinakwenda sambamba na mabo ya kishirikina.
Katika TUKIO LA KUNUSIKA KIFO HII LEO Taarifa kwenye media na hata Sunrise. Zinasema "Mfanyabiashara marufu na Mwanasiasa machachari Mkoa wa Arusha Mr MBOYA anusurika kifo baada ya jaribio la kuchoma nyumba yake kushindikana sanane ya usiku leo, muhusika mkuu(KAMDE) Mkuu wa (RED BRIGADE ARUSHA) Polis wanamtafuta.
Huuu ni mwendelezo wa liletukio la Ofisi za CHADEMA kuchomwa moto ambapo taarifa za awali zinaoneasha wanachadema wao kwa wao ndio wanashikana uchawi kwa kuchoma ofisi zao.
Mods nipotayari kuwapa Ushirikiano kuthibitisha hili.
Usishangae kwani akili zao zinaongozwa na kinywaji cha gongo na viroba wanavyopewa na k, wao, kujadiliana na watu wa aina hii kunahitaji ujasiri mkubwa na uvumilivu.
grean gud ni washenzi,cheki walivyo mfanyia ushenz m

Mkuu Mamuya,Arnod haitwi KAMDE,anaitwa KAMNDEHabari hii sio ya kweli na nimetoka kuongea na KAMDE muda mfupi uliopita na anasema hakuna ukweli wowote ya kwamba anatafutwa na alipoiona habari hii alifanya mawasiliano na jeshi la polisi na kuambiwa hakuna malalamiko yoyote yaliyowasilishwa polisi na kama yangekuwepo wangempigia simu. Taswira kuwa makini na vyonzo vyako vya habari.
Endeleeni na uzezeta wenu lakini iko wazi kuwa Arusha kuna msiba mkubwa sana kwa ccm kukataliwa....
Hahaha, umemaliza mkuu
Sijui ni Lini CHADEMA itaendesha siasa za kistaarabu!
hii habari ipo kiudaku zaidi,kweli kuna mijitu imejaaliwa uongo.
nani yupo zamu coz hii id inatumiwa na masalia group waliojiunga lumumba na kupatiwa mpakato kwaajili ya umbeya na udaku!
Gamba At Work Buku 7 kazini.
Arusha hawadanganyiki buku Saba wewe
Taswira,Sh.1150 iliyobaki utaenda chukua lumumba..