Mfanyabiashara Kariakoo akutwa na suruali 5,000 sare za JWTZ

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Mfanyabiashara wa Kariakoo, Casto Ngogo (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na vifaa vya serikali ambavyo ni suruali 5,000 sare za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

19275308_1452556564823599_7569147750620141830_n.jpg
 
Wampeleke jeshin ataeleza vizur alizitoa wap hizo sare
 
HII ni hatari sana kwa nchi mana unajaribu kujiuliza kama akupewa order na jkt/jwtz alikuwa anazifanyia nini maana ata vijana mtaani sikuizi awavai izo nguo
Maafisa Usalama wanakazi kubwa sana kwa sasa kwenye nchi hii na haya ndo matokeo ya kuwabana wana nchi watabuni kila naman ili maisha yaendelee
 
Mfanyabiashara wa Kariakoo, Casto Ngogo (35) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na vifaa vya serikali ambavyo ni suruali 5,000 sare za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

19275308_1452556564823599_7569147750620141830_n.jpg
Weka bei tafadhali
 
Hizo nguo ni mali ya JWTZ ni ni nguo alizoziagiza zinazofanana na za JWTZ?, kama aliziagiza iweje zipite kwenye border post au hapo bandarini bila kukaguliwa? Pair 5000 ni nyingi sana kutoonekana
 
Mudawote
Hivi mama umesoma hiyo comment ya jamaa ukaielewa au umekurupuka na povu lako kisa tu unakitetea chama/serikali yako?

Hakuna hata sehemu moja huyo jamaa alipoandika neno uislamu wala hakuhusisha comment yake na itikadi ya dini ila wewe kwa shida yako ya biku 7 ndio umeanza kutokwa povu la udini.

Muwe mnaelewa watu wameandika nini ili muweze kujibu hoja kwa maelezo stahiki.

shubamiti!
 
Watz tumekuwa watu wa kuchukulia mambo kirahisi sana na ndio maana nikasoma comment moja jana mtu akijinasibu eti 'hawezi kuishi Kibiti' bila kujua hili ni janga la kila mmoja wetu!
Nakumbuka rais akisema kuwa ziliingizwa kontena nyingi bila hata kukaguliwa pale bandarini na akaenda mbali zaidi kusema kwamba kuna meli zaidi ya 60 zilishusha mizigo na kuondoka bila kurekodiwa kunakohusika. Hapo hatujui kama kwenye bandari bubu ni mchele na sukari tu vinavyoshushwa au kuna zaidi!!
Hali hii inaniongezea woga maana mwishowe inaweza kutuwia ngumu kujua ni nini vililetwa kwenye hayo makontena na hizo meli, sana sana tunaishia kujiaminisha kuwa ni bidhaa za madukani tu. Mungu apishe mbeli!
 
wazitaifishe watugawie wananchi kama walivyofanya wakati wa samaki wa Magufuli na sukari
 
Back
Top Bottom