Mfanyabiashara Kariakoo akutwa na suruali 5,000 sare za JWTZ

daaaah labda alipewa order ya kuzipeleka kibiti mkuranga pwani kwa invisible killers wawe jeshi kamili

(just a kidding jokes)
It's a joke kwa kuwa hujui kilichopo nyuma ya pazia,but it could be true.Afuatiliwe huyu anaweza kuwa na uhusiano na wauaji wa Kibiti na Mkuranga.
 
Kichwa cha habari kingepaswa kuwa MFANYABIASHARA KKOO AKUTWA NA NYARA ZA SERIKALI.
 
Mbona nyingi sana. Alikuwa na oda ya kupeleka jeshini? Au alifanikiwa kupata oda ya kuzipeleka nchi za maziwa makuu?
 
Lakini haina haja ya kuzuia mbona huku mamtoni watu wanavaa hakuna tatizo lolote,pia hata hapo south Afrika watu wanavaa tu na hakuna tatizo lolote,lkn bongo wanafanya kuwa ni big issue.
 
Lakini haina haja ya kuzuia mbona huku mamtoni watu wanavaa hakuna tatizo lolote,pia hata hapo south Afrika watu wanavaa tu na hakuna tatizo lolote,lkn bongo wanafanya kuwa ni big issue.
Big issue kama siyo mitumba.
Sare hata zingekuwa za wagambo kwa idadi hiyo huwa zimelenga kugawiwa watu f'lan.
Mhusika anayekutwa kahodhi sare zozote, lazima awe na maelezo yakinifu kuwa sare hizo zimelenga kugawiwa watu gani na wenye malengo gani.
 
Back
Top Bottom