Huwezi kwenda kumkamata mtu pasipo kuwa search/resting warranty. Embu watumishi wa pale waache kuwa na mihemuko katika utendaji mwisho wa siku wanaaibishwa kwa uzembe
Katika Decision ambayo wanapashwa Sirro, NPS na DPP Wakae waifanyie Kazi ni Hii Ya Kitimbo.Kile chombo pia itakuwa kinaendeshwa kihuni, Huwezi kwenda kumkamata mtu pasipo kuwa search/resting warranty. Embu watumishi wa pale waache kuwa na mihemuko katika utendaji mwisho wa siku wanaaibishwa kwa uzembe wa watu wachache.
Na Mama kawasema tayari, muanze kupiga jeramba muache kufanya kazi kwa kukariri na uonevu
DCEA chini ya kina,Rogders Sianga, jaji kakolaki Balozi Fredrick kibuta, kanali Millanzi na James kaji walimaliza mitandao yote ya unga... ila hawa kingpins wamepoteza wataendelea kupoteza vijana wetu... wakiwa wanatolewa huko ndani.
Mungu anusuru kizazi chetu n laana ya madawa ya kulevya
That's what he said.Tutegemee Shamimu na mmewe kutoka pia. Sasa utawala wa michongo umerudi. R.I.P Magufuli. Hakika tutakukumbuka hata kama kuna mambo tulikupinga. Acha tukukumbuke kwa mazuri.
Tatizo Mahakama haideal na maneno matupu, inadeal na sheria za makosa ya jinai ikiwemo PGO ambayo inatoa utaratibu mzima wa ufanyaji kazi ea polisi ili wanapoleta ushahidi kusiwe na mashaka maana polisi nao ukiwapa madaraka bila kuwapa limits basi Kuna hatari kubwa sana watu wakabambikiwa kesi Kama enzi zile za kubambikiwa murder kesi au ujangili.Madawa ni DCEa sio polisi. Alafu kwa mtu Kama kiboko Wala huitaji kuuliza maswali mengi
Hivi PGO ni niniPGO Bado ni tatizo kubwa kwa Mapolisi.
Police General Order, ni sheria inayotoa muongozo wa utendaji wa kazi kwa askari polisi wanapotekeleza majukumu yao ya kazi ikiwemo ukamataji, search na uvaaji wao kiujumla ethics zote kwa polisi wa kike na kiume, namna ya kuwasiliana kipolisi (chain of command) n mambo mengine mengi yanayohusu utendaji mzima wa jeshi la polisi.Hivi PGO ni nini
Hivi nyie Kiboko mnamjua vzr nyie
Pole sanaSiyo kilaza kama unavyonidhania rafiki.
Katika comment yangu nimeambatisha na mifano hai ya raia waliokamatwa kitaa bila ya hizo nyaraka na mpaka tunavyoongea wapo mkusota.
Labda nikuulize wewe mwenye upeo, raia yeyote hawezi kufanya ukamataji kwa kukuta kosa likitendwa na mhalifu?
Tukimaliza kulijadili hili, turudi kwenye hii hukumu ya marejeleo.
Kwanza walifungwa kwa hakimu wa kwanza baada ya kujiridhisha kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo bila kuacha shaka yoyote.
Sasa kuja kumtoa kisa serch warrant, hapana hapo lazima kuna loop holes za kisheria bhana.
Mama anaendelea na mwingikwa hiyo na majambazi waliokamatwa na silaha na police walikuwa hawana serch warant na wao wakate rufaa watoke