Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,563
- 217,866
Sasa ni dhahiri kwamba ccm imeishiwa ushawishi , haina uwezo tena , kilichobaki ni kutumia hata majangili ili waiokoe .
Bali ifahamike kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu kwa lolote
Ni ASASWalaaniwe wote, na pia tumjue huyo mfanyabiashara, tuanze susia bidhaa haramishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuhamisha mada wwHahaha Msigwa malizia ule mkopo..huna chako hapo Iringa..hii ni 2020 usisahau
Hahaha Msigwa malizia ule mkopo..huna chako hapo Iringa..hii ni 2020 usisahau
UmenenaHahaha Msigwa malizia ule mkopo..huna chako hapo Iringa..hii ni 2020 usisahau
Endeleeni kuchekeshana !
Kweli msigwa atupishe tu aendelee kutafuna wake za watu tuHahaha Msigwa malizia ule mkopo..huna chako hapo Iringa..hii ni 2020 usisahau
😆😆😆😆
ASASWalaaniwe wote, na pia tumjue huyo mfanyabiashara, tuanze susia bidhaa haramishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mfanyabiashara hana jina?!View attachment 1371343
Sasa ni dhahiri kwamba ccm imeishiwa ushawishi , haina uwezo tena , kilichobaki ni kutumia hata majangili ili waiokoe .
Bali ifahamike kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu kwa lolote
amekwisha tajwa na ni yule yule aliyeiweka serikali ya ccm mfukoniHuyo mfanyabiashara hana jina?!
Kimbe bei yake inajulikana bwashee!amekwisha tajwa na ni yule yule aliyeiweka serikali ya ccm mfukoni
Ni ASAS