Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 25,856
- 33,463
Kuna ukoo pia uko kimandolu wa Msechu ila ni Waarusha...kifupi hao Waarusha ni Wachaga waliozamia huko zamani.Yeye kazaliwa Arusha maeneo ya Oloirien ( Burusu). Babu zao ndio walikuwa waamiaji na sio wao. Kuna cousin wao mmoja namjua anatumia jina la MzeeTemba wa Kimandolu maeneo ya Phillips (walioishi Kijenge ya juu au maeneo ya Sekei wanawajua kina Temba), cousin mwingine maarufu ni Mzee wa Pendeza studio ilikuwa pale Sheikh A A stadium. Kuna mandugu zao kibao Kijenge ya chini na maeneo ya Mwanama
Wamasai gani waliolima ndizi miaka yote na kufanya ufugaji wa ndani?
Wamasai asili yao ni kuhama hama na Ng'ombe mikoa kwa mikoa na hawalimi