Mfanyabiasha Mzamir afanyiwa kitu mbaya Uchina

hawa si ndio wale mapedejee wanaowaliza wageni copper na almasi feki ,,..du!!...kweli you can not loot from mafia and enjoy the loot....ukiwatapeli mafia watahakikisha pesa yako haikunufaishi wewe wala kizazi chako.....

nadhani ingekuwa mimi muzamil ningeenda NGWASUMA nikatoa uume hadharani ...ili kuwahakikishia wadau kuwa bado dume.....lol..

Hivi huyu jamaa si yule ambaye anatapeli wafanyabishara sehemu mbalimbali duniani na madini feki?? Kwa kawaida nasikia huwa anakuonyesha sample za kweli halafu anakuambia utume advance ukishatuma anatuma feki. Kama ni yeye, kuna wakati alifunguliwa kesi ikafika hadi high court lakini alimtishia yule jamaa asije Tz kutoa ushahidi. Mzungu wa watu alipopata vitisho kuwa akikanyaga ardhi ya Tz atauwawa basi ndo hivyo tena kesi ikaisha bila ushahidi. Huyu jamaa mtandao wake ni mkubwa na analindwa, kama ilivyo kwa akina PAPA MSOFE. Ila tu za arobaini zikifika ulimi na macho utavitoa njee kama panya aliyekamatwa na mtengo. Ndiyo kama hivi, mzee mzima keshaondolewa, kama at all it is true and has been proven!!!
 
wapi papa musofee ..wapi papa muzamil ..bill gate..,young millionaire....ndama mtoto wa ngombe!!

wanamuziki wa tanzania njaa sana ....kazi kuwasifu matapeli na wachuna ngozi za albino wimbo nzima...tena mara nyingine wanapiga na kuimba kwenye hafla zinazohudhuriwa na viongozi wakuu..

Wacha tu mkuu wangu PM, yaani hizi njaa ni mbaya sana. Tunadiriki kuwatunza majambazi, wauaji wa maalbino na wauza madawa!!! Ili hali tunajua fika kabisa shughuli zao ni haramu, tena haramu haramia??? Hivi Ndama mtoto wa ng'ombe alikamatwa kuhusiana na hiii haramu ya kuua ndugu zetu albino imefikia wapi??? Au ndiyo wameshafukia handaki??? Hata vyombo vya habari viko bubu haviandiki kabisa habari za watu hawa wabaya katika jamii.
 
wapi papa musofee ..wapi papa muzamil ..bill gate..,young millionaire....ndama mtoto wa ngombe!!

wanamuziki wa tanzania njaa sana ....kazi kuwasifu matapeli na wachuna ngozi za albino wimbo nzima...tena mara nyingine wanapiga na kuimba kwenye hafla zinazohudhuriwa na viongozi wakuu..
Baadhi ya hawa ma PEDEGEE/PDG wana historia ya uhalifu.Cha kushangaza askari wanaweza kusema hawawajui.... au hawajui watawapata vipi! LOL
 
Baadhi ya hawa ma PEDEGEE/PDG wana historia ya uhalifu.Cha kushangaza askari wanaweza kusema hawawajui.... au hawajui watawapata vipi! LOL

Tatizo la msingi ni kuwa pale ushahidi wenu mnaoyajua matendo yote maovu ya mnaowatuhumu unapohitajika, huwa hamjitokezi mahakamani au hata polisi tu kutoa taarifa zenye kuweza kusaidia.

Na kwakuwa mahakama huendeshwa kwa kufuata misingi ya sheria na haki za binadamu, hakuna anayeweza kufungwa kwa kufuata hisia tu za majority au minority bila kuwapo ushahidi usiotia shaka juu ya tuhuma hizo.

Labda wanasheria waliobobea wanaweza kutoa semina elekezi kwa wadau hapa
 
Oh nampa pole Muzamir Katunzi ,ni mtu mstaarabu,namfahamu kwani tulikuwa wote pale DSA.yote ni maisha asivunjike moyo kwani inabidi aikubali hali aliyonayo.Kwa hali iliyomfika kama ni kweli inabidi tumpe moyo huyu ndugu yetu na si kumkejeli.
Pole Katunzi
 
wapi papa musofee ..wapi papa muzamil ..bill gate..,young millionaire....ndama mtoto wa ngombe!!

wanamuziki wa tanzania njaa sana ....kazi kuwasifu matapeli na wachuna ngozi za albino wimbo nzima...tena mara nyingine wanapiga na kuimba kwenye hafla zinazohudhuriwa na viongozi wakuu..
Kuendekeza njaa zetu tu. Asilimia kubwa ya wanaoimbwa kwenye miziki ya kwetu ni watu ambao wanawatunza.Hapendwi mtu zinazopendwa ni pesa tu!!Hata kama ni zile zitokanazo na ibada ya kishetani
 
Tatizo la msingi ni kuwa pale ushahidi wenu mnaoyajua matendo yote maovu ya mnaowatuhumu unapohitajika, huwa hamjitokezi mahakamani au hata polisi tu kutoa taarifa zenye kuweza kusaidia.

Na kwakuwa mahakama huendeshwa kwa kufuata misingi ya sheria na haki za binadamu, hakuna anayeweza kufungwa kwa kufuata hisia tu za majority au minority bila kuwapo ushahidi usiotia shaka juu ya tuhuma hizo.

Labda wanasheria waliobobea wanaweza kutoa semina elekezi kwa wadau hapa
Duuh, unajua watu wenye hela za mizengwe wanakawaida ya kutembea wakizirusha kwa watu wa usalama kama hawana akili nzuri. Hukumu za watu wanaonunua haki mara nyingi hazitekelezwi mahakamani. Ni kama hili soo la kunyofolewa kiungo muhimu maana kwa pesa, na corrupt system haki utaipatia wapi. Nahisi hata wewe unajua hilo ila unajaribu kumtetea pengine mfadhili au ndugu yako
 
Hata watu wanaoenda kwenye maonyesho za hizo bendi pia ni sampuli ya Criminals, vinyozi na wasela wa mitaani wa dili mbovumbovu!

Nyimbo nzima anaimbwa Jack peeeemba!, upumbavu mtupu!
 
Tatizo la msingi ni kuwa pale ushahidi wenu mnaoyajua matendo yote maovu ya mnaowatuhumu unapohitajika, huwa hamjitokezi mahakamani au hata polisi tu kutoa taarifa zenye kuweza kusaidia.

Na kwakuwa mahakama huendeshwa kwa kufuata misingi ya sheria na haki za binadamu, hakuna anayeweza kufungwa kwa kufuata hisia tu za majority au minority bila kuwapo ushahidi usiotia shaka juu ya tuhuma hizo.

Labda wanasheria waliobobea wanaweza kutoa semina elekezi kwa wadau hapa
dada nanihii umeshampigia muzamiri simu?
 
mutu ya watu wapi dhulumati mkubwa ,alijua madini ndio kitu pekee unachoweza kumdhulumu mtu nha? kasababisha familia za watu wamekuwa maskini mpaka leo na wengine kushindwa kusomesha watoto zao,i think those people in china were very genorouse coz wamemwachia tundu ya nyuma ambayo anaweza kuifanyia kazi akapata utamu, haya wenzie nao wamemdhulumu UTAMU , akabandike maziwa na yeye amreplace aunt victoria aliyekufa wiki zilizopita
 
Nimejaribu kuzungumza kwa simu na ndugu pamoja na jamaa kadhaa wa Katunzi (Benedict, Matungwa and a few others), wote wanashangazwa kusikia uzushi huu.

Again and again, tunaomba kuthibitishwa kwa taarifa hizi.

Una tegemea wakubali? Ingekua wewe ungetaka watu wajue kitu kama hicho?
 
Jack peeeemba[/B]!, upumbavu mtupu!

Mwimbo mzuriiiiii lakini ukifikiria anaimbwa nani, ladha yote inapotea.At times ukitaka usikilIze angalau melody basi unaswitch off kusikiliza maneno.tabu tupu!
Ila nasikia those guys pay upto a million Tsh.kuimbwa ili kuwapatia umaarufu!
 
Bazobonankira,kuna mdau hapo juu kakuuliza kama umekwisha ongea na Muzammil , mbona unasita kujibu? maana comment zako zinaonyesha kwa Muzammil wewe ni 'mutaa nju'!
 
Kama hapa duniani kuna watu wakatili Wachina ni wamoja wao. Mnaofanya biashara nao au hata mnaoenda kuchukua mali huko kwa muwe waangalifu sana hawa jamaa ni watu wabaya sana.
 
Mwimbo mzuriiiiii lakini ukifikiria anaimbwa nani, ladha yote inapotea.At times ukitaka usikilIze angalau melody basi unaswitch off kusikiliza maneno.tabu tupu!
Ila nasikia those guys pay upto a million Tsh.kuimbwa ili kuwapatia umaarufu!
milioni wapi basi......buku 10 10 ukimpa weeekend lazima akuimbe.....

.....na hawa bongo fleva nao wameanza kuniudhi.....kuna haka kajamaa kana duka la nguo sinza ZIZZOU FASHION wanamuimba sana mpaka kero kila ghani ya mwanamuziki wanampaisha

angalieni hii jide nyimbo nzima anapaisha watu
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=y-FGfD5f_zg"]YouTube - Ledy JD Mko Juu[/ame]
 
Last edited:
milioni wapi basi......buku 10 10 ukimpa weeekend lazima akuimbe.....

.....na hawa bongo fleva nao wameanza kuniudhi.....kuna haka kajamaa kana duka la nguo sinza ZIZZOU FASHION wanamuimba sana mpaka kero kila ghani ya mwanamuziki wanampaisha

angalieni hii jide nyimbo nzima anapaisha watu
YouTube - Ledy JD Mko Juu
Yoyo unabalaa wewe au na wewe uko juuu......
Hiyo juu imekuwa ya ki congo siku hizi, heti chuuuuu
 
Kama hapa duniani kuna watu wakatili Wachina ni wamoja wao. Mnaofanya biashara nao au hata mnaoenda kuchukua mali huko kwa muwe waangalifu sana hawa jamaa ni watu wabaya sana.
__________________

MKUU INABIDI CEO WA ATCL AKUPE SEMINA UWAFUNDISHE WAFANYAKZI WAKE JINSI YA KUJILINDA MAANA WACHINA NDIO WANAMALIZIA KUCHUKUA SHIRIKA LAO NA MAMLAKA YA TAA
INABIDI KUWE NA CHUMA INAYOZIBA KILA SEHEMU ZA MIHIMILI
 
Back
Top Bottom