Mfano wa madiba mmepewa fuata nyayo

kishanda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
252
195
KAMA KIONGOZI UNAJISIKIAJE UNAPOONA MAZISHI YA MADIBA PAMOJA NA WASIFU WAKE.

JIPIME MWENYE NA UJIPE MAKSI UKIPATA CHINI YA 50 ASILIMIA JIPE POLE.

UNAWEZA KUWA HATA NUSU YAKE ???????????????????????.:A S-eek:
 
wabuyaga

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,684
1,225
KAMA KIONGOZI UNAJISIKIAJE UNAPOONA MAZISHI YA MADIBA PAMOJA NA WASIFU WAKE.

JIPIME MWENYE NA UJIPE MAKSI UKIPATA CHINI YA 50 ASILIMIA JIPE POLE.

UNAWEZA KUWA HATA NUSU YAKE ???????????????????????.:A S-eek:

Kwa viongozi wa sasa hakuna kabisa. Obama amesema ktk hotuba yake '' hata wale waliomsadia Madiba'' bado wanawanyanyasa watu nchini mwao!! Kwa watanzania ninaona ni Marehemu mpendwa Mwl nyerere tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom