Mfalme Zumaridi yu hali gani huko aliko?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Huyu Mwanamama anayejiita Mungu Zumaridi wa Mwanza baada ya kanisa lake kupigwa kufuli na serikali ya Rais Magufuli, nataka nijue afya yake inaendeleaje?

Ni hayo tu, inakuwaje serikali ina nguvu kuliko Mungu Zumaridi, huu sio utu wema.
 
Nduo
Huyu mama ni mjanja wa mjini (ila sio mwivi). Katumia fursa ya uwepo wa wapmbav wachache kujinufaisha. Lakin bado wapo wenzake wengi tu wanaoendeleza mambo kama hayo au mabaya zaidi na wameachwa.
Mkome kufuata miujiza
 
Preacher man dont tell me heaven is down the earth, i know you dont know what's life is really worth, is not not all that glitter is gold!! Half the story has never been told! Bob Marley aliimba.
 
Kuna kitu wengi hamuelewi, kuna Mungu na miungu, usishangae mtu kujiita mungu au kua na mungu wake anayemuabudu ukaona kama dunia ndio mwisho HAPANA, hiyo miungu ilikuwepo karne na karne hata vitabu vya dini vinatuambia, kwa hiyo kama wewe unaabudu Mungu ni sawa ila jua kuna wengine wana abudu miungu au wao ndio mungu kulingana na vigezo vyao.
 
Na wanao abudu miungu wanakuona wewe ndio uko kwenye wrong track Kama Magufuli anavyowaona UPDP MAENDELEO
 
Nilihudhuriaga ibada zake huwa anakili Kama mungu hajamtuma Basi amuue pale pale madhabauni pake kwa radi Kali Kama ishara.
Mungu anakausha hampigi radi which means katumwa nae.
Mungu hatumwi na mwanadamu. Alichokuwa anafanya Zumaridi Ni kumtuma Mungu aliye hai
 
Back
Top Bottom