Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,262
Mfalme wa Oman Mtukufu Sayyid Qaboos bin Said Al Said amemhakikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuwa nchi hiyo ipo tayari kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuongeza Uwekezaji katika viwanda, Uzalishaji wa nishati, na kuongeza thamani ya madini.