Mfalme Ogu wa Bashani: Mnefili pekee aliyepona kwenye Gharika la Nuhu

Lazima yatakuwa maandiko ya quran
Hapana mkuu ni maandiko matakatifu ya kiyahudi ipo kwenye Talmud/Midrash (Kma Quran au Bible) ambapo kuna Rabbi mmoja alikua anaeleza historia ya wayahudi ndio akagusia kuwa kama mlima ule ungetupwa basi ungekua mwisho wa kizazi chao kwenye historia.
 
Kuna sehemu nilisoma kuwa walikufa kwenye gharika ila roho zao hakuziua. Ili dunia ijayo ijue na ione kazi zake.
Na ndio hawa wanaotawala dunia now
Mmh!.. hatavmm nimewahi soma kitu hiki lakini najiuliza hivi Mungu alikuwa na kusudi gani na mwanadamu?
Maana alijua wazi hizo roho zitawaandama binadamu...kwa maana hiyo ilikuwa kusudi twende motoni?
Ukifuatilia sana ndio inakuja imani kuwa hivi vitabu viwili vimeandikwa kwa sintofahamu nyingi ili watu wabakie hewani mwisho wa siku!
Pana vitu vimefichwa kweli..na wajanja wakiowahi!
 
Kuna stori zipo katika kitabu cha Henoko kinachowaongelea vema malaika wale waasi na vizazi vyao vilivyoachwa duniani ambavyo vipo hadi leo, kitabu hicho kiliondolewa katika biblia kwa makusudi, unaweza uka google na kupata content zake " The Book of Enoch"
 
Mungu akiweka ukomo huwa anaweka na mlango wa kutokea ila kuujua ni mpaka ujiongeze nakuzijua kanuni za Mungu. Hata alipowaambia wana waIsrael kuhusu kufa jangwani miaka 40 aliwawekea na mlango wa kutokea ila hawakuujua mpaka mwisho kabisa. Baada ya kutoa ile amri ya wao kufia wote jangwani Sura inaofuata anawawekea mlango wa sadaka ya nadhili ila hawakujua maana yak wakaja kuitumia mwishoni kabisa na ikafanya kazi. Sadaka ya nadhili ni agano ambalo lina uwezo wa kutangua agano/ au maelekezo yaliyotangulia
 
Kitu ninachokijua kwa sehemu ndogo tu kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba, Mungu akitaka kufanya jambo lake hashindwi kulifanya, huyo mnefili aliyesalia kwa kufikiri fikiri tu yaweza kuwa alikuwa mimba wakati wa gharika labda.
Kinyume na hapo yaliyobakia yote ni vigumu kukubaliana nayo kwa sababu tangu mvua kunyesha mpaka maji kuanza angalau kupungua ni zaidi ya mwaka! Sasa huyo ni kiumbe gani mwenye mwili ambaye hali wala kunywa kwa mwaka mzima kwenye dharuba nzito namna hiyo?!!!
Lakini kama ndivyo kwani pia Mungu hakujua kuwa kuna hiyo mimba ya kiumbe cha aina hiyo ambacho kitakuja kuwa changamoto badaae

Suala kula na kunywa sio issue kwa kiumbe aina hiyo kwa sababu kwanza kiumbe huyo siyo kama mimi na wewe ana nguvu zaidi ya binadamu kiroho ndiyo maana hata akawa na historia hiyo lakini

Inawezekana kiumbe huyo kula hata miili ya viumbe waliokufa maji na miili ya binadamu wenzie
Tukiongelea hili jambo lazima tufikirie kuhusu nguvu za kiroho pia walizokuwa nazo kwa akili hizi za kibinadamu tu kuna mambo tutaona hayawezekani

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
hiz habar mnapenda kuzielezea kiufup ufup tuu, na hiyo inatokana na ufinyu wa maarifa, sio kosa lenu, bali ni kosa la aliewapa dini,,,simple nitawaeleza historia kwa ufupi sana
Hapo mwanzo Mungu alimuumba mtu kutoka ktka udongo na ardhi nyeus akiwa na mfano wa viumbe vya kiroho, mtu huyu kuja kuitawala dunia, mtu huyu alikuwa mweusi, maana hakuna kinyago chochote kutoka ktk ardhi kikawa rang tofaut na nyeus, labda upake rangi, sasa mtu huyu aliumbwa hapa hapa afrika eneo la East afrika na ethiopia ama edeni ya kale( ushahidi upo), mtu huyu aliitwa ktk lugh kongwe na lugha ya zaman zile toka ktk miziz ya kibantu yaani MUTU(adamu) huyu baada ya muda alikuja kuletewa msaidiz wake ambaye ni MOTo(eva) mwanamke , hawa wote waliish hap hapa afrika, na baada ya muda mrefu kupta, kuna yule msariti wa mbingunu aliyetaka kuwa na mamlaka zaid ya aliyemuumba kwakutaka kuwa kama yeye, huyu ni shetan, bas aliendeleza juhud zake na mbinu zake za kuitawala dunia, baada ya kushindwa kuitawala mbingu, aliamua kufanya nayeye uzao wake dunian utakaoitawala dunia na kuvitawala viumbe vya asiri vya Mungu kwa kuvitesa,kuviua na kuviharbu, shetan alishusha jopo lake la maraika wahasi wakaja kuzaa na wanawake weusi, kutok ktk uzao wa kaini, ndpo likaja tatizo, tatizo hili lilikuwa wale wanawake waliobeba mimba za awa alien ama maraika, walikuwa wakizaa majitu ama matoto yenye ngozi na rangi zenye laana(nyeupe) matoto haya ndyo yaliitwa mazungu in swahili ama wanefili, hawa hawakuwa wakubwa kama mnavyodanganywa, wala hawakuwa wanatisha, bal walkuwa na mionekano kama mtu wa kawaida lkn mrefu na mwenye rangi nyeupe na nywele ndefu, pia maraika wale hawakuishia kwa watu tuu bal walkuja kuzaa na wanyama ndpo likaibuka kundi la wanyama wakubwa kama dinosaurs, sokwe,na aina zote za nyani, pia baada ya machafuko haya ziliibuka tabia zaajabu zilizoletwa na haya manefil, tabia hizo zlkuwa ni uuwaji,ushoga,kuabudu mizim,vita,utengenezwaji wa mbegu artificial yaan kuunda mazao nje ya asiri, mfano mazao ya mbegu za GMO unatakiwa kujua hazijaanza leo wala jana, ni mambo ya kalee sana, baada ya Vurugu kubwa na watu(weusi) kumlilia Mulungungu wa afrika (Mungu) ndpo akaleta gharika ambayo ilkuwa lengo kufura uzao wa watu weupe(wazungu/wanefili) lakn kwa bahat mbaya wapo walioingia na nuhu katk safna, nuhu alikuwa mtu mweusi na sio uyo mzungu waliodanganya ktk biblia ya King jems version, bas ktk safina hawakuwa watu 8 pekee bali walikuwepo zaid ya hao, na safina hiyi ilisimama hapa hapa east afrika kipind ambacho mabara bado hayajagawanyika, so uzao wa watu weupe uliendelea kuongezeka, na ao wanefil wote wakina goliat na wengineo wametoka ktk bloodline ya wale wajawa laana walioingia ktk safina ya nuhu, na ndyo hawa hawa wanaondelea kuitawla dunia,,kwakumalizia tu, yule nyoka aliyetajwa kuwa atamngata kisigino mwana wa mwanamke alimaanishwa ni uzao wa watu weupe, na wana wa mwanamke ni waafrika ama ngozi nyeus itaonewa na hawa wanadamu(wazungu) na hili jambo linaendelea mpka kihama ndpo litakoma, unatakiwa ujue kuwa mzungu si mtu, bal ni mwanadamu, sifa ya kuwa mtu ni lazma uwe mweus ama uwe na ngozi ya asiri yenye melanini zakutosha, mtu mweupe si ndugu kwa mwafrika, hata akuteendee mema gani, huyo si ndugu, ukwel mchungu, na huu ukwl wao wanaujua that's why wakaedit biblia na kuondoa vitabu vinavyoonesha asiri ya wanadamu na historia ya afrika........
img_1_1619117968999.jpg
 
53 Reactions
Reply
Back
Top Bottom