Mfalme juha:milioni 100 kumuua mnyama.

Eti sababu,kwa tim ipo ya kuifunga simba?na kwa taarifa yenu msimu huu tunatoka unbeaten,

Eti unbeaten, hata kama uzi huu utakuwa umeshasahaulika hiyo tarehe 3 October baada ya mechi yetu nitaurudisha ku'prove kutokuwa sahihi kwa hapo kwenye red.
Matokeo yenu ya mechi hizi 2 zilizopita hapa Taifa dhidi ya Ruvu Shooting na dhidi ya Prison inaonyesha kuna point nyingi tu mtakazodondosha siku mtakapotia mguu pale Mabatini Mlandizi na kule Sokoine Mbeya duru la 2, nyie chekeleeni tu kuanzia mechi nyingi nyumbani.
 
kwani simba hawana wa kuwapatia milioni 100?..hahaha, yule kibaka mbunge wa tabora hana iyo hela...si alienda ndani kwa kuiba laki nane...hahaha. mnyama bwana hata hamjui watu wa kuwaweka kama viongozi...

nyi mliyechagua Teja ndo mnaakili?au kwa sababu teja tajir anaitwa Zungu?
 
Eti unbeaten, hata kama uzi huu utakuwa umeshasahaulika hiyo tarehe 3 October baada ya mechi yetu nitaurudisha ku'prove kutokuwa sahihi kwa hapo kwenye red.
Matokeo yenu ya mechi hizi 2 zilizopita hapa Taifa dhidi ya Ruvu Shooting na dhidi ya Prison inaonyesha kuna point nyingi tu mtakazodondosha siku mtakapotia mguu pale Mabatini Mlandizi na kule Sokoine Mbeya duru la 2, nyie chekeleeni tu kuanzia mechi nyingi nyumbani.

Dua la kuku halimpati mwewe..acheni kuishi kwa ndoto...simba moto ushawaka..nyi endleeni na hujuma..tutaona mwisho wake.!
 
Wameanza kutafuta sababu mapema,wakifungwa waseme ni zile Mil 100 kama vile walikuwepo wakati hiyo cheque ikiandikwa.

yanga hawatoagi cheque coz akaunti ya timu haina hata shilingi..kama unabisha kawaulize Kagera sugar walipewa cheque ambayo ilikuja kuwa dishonoured sababu akaunti ilikuwa hainakitu.YANGA WANATOA CASH CHAFU KUTOKA KWENYE MIFUKO YA WAJANJA KADHAA(CAPO REGIMES) ushahidi ni picha ya usajili wa YONDANI
 
kwani simba hawana wa kuwapatia milioni 100?..hahaha, yule kibaka mbunge wa tabora hana iyo hela...si alienda ndani kwa kuiba laki nane...hahaha. mnyama bwana hata hamjui watu wa kuwaweka kama viongozi...

Heri ya huyo anamafaili yanayotafutika kuliko mpita njia wenu anayeelekea kwenye bwawa la mafisadi papa, hamjui mlitendalo hata mkakubali kuuza klabu.
 
Back
Top Bottom