Mfalme ****:milioni 100 kumuua mnyama. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfalme ****:milioni 100 kumuua mnyama.

Discussion in 'Sports' started by LUCIFER, Sep 28, 2012.

 1. LUCIFER

  LUCIFER Senior Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Habari zenu Wana JF....!
  Leo sina mengi ila kuna jambo nimelisoma kwenye magazeti kadhaa ya Leo kwamba Kibopa mmoja wa Yanga ameandaa milioni 100 kama timu yao itamfunga Mnyama....Nikafikiria zilikuwa wapi hizi pesa wakati timu inalala wawili wawili kwenye mgahawa wa mbavu za mbwa mbeya?kutakuwa na kipi special kama YEBOYEBO mtamfunga MNYAMA halafu timu ikakosa ubingwa na kuendelea kushiriki mashindano ya ndani?Mjipange,acheni kukurupuka hata ukuta wa ROME haujajengwa kwa siku moja....Tunataka mpira hizo style za kumwaga pesa kwa ajili ya kuhonga viongozi na marefa ili umfunge Flani zifike mwisho.Saudia Arabia na pesa zao walipigwa 8-0 Kombe la dunia....
  Narudia tena ni muhimu kutoa pesa pale zinapohitajika,na si kutoa pesa pale unapohitaji kutoa...huo ni UFALME ****!
  NAWASILISHA
  DSC02170-450x600.jpg

  DSC02177-424x600.jpg
   
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  naogopa id yakooooooooooooo
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  LUCIFER ID yako utata mtupu, sawa mlaaniwa na Mungu.
   
 4. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Mkuu nadhani hii pesa ingetumika kuwalipa papic njoroge mtakatifu 'tom n jerry' ingekuwa busara zaidi.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 5. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Lucifer Member wa FreeMason au Illuminati
   
 6. C

  Cognitivist JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 983
  Trophy Points: 180
  Nakubaliana na wewe kabsa, kweli yule dogo ni mfalme ****. Timu ina madeni mpaka fifa wanalitambua hilo, them milion 100 kuifunga simba wakati hata wagosi wa kule tanga coastal union wanawazidi point.
  ama kweli wajinga ndio waliwao. Mnyama ataendelea kuwapakata...
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Zile TANO bado zinawachanganya.........inanikumbusha utotoni nilimdunda jamaa wakati wa PASAKA akanivizia mpaka CHRISTMAS na bado nikamdunda tena
   
 8. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,465
  Trophy Points: 280
  Naona mnaanza kuweweseka kabla kiama chenu kufika.
   
 9. T

  Tanzania1960 JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hehe mbona mnauchungu na hizo milioni sijui ngapi waacheni wazitumie kwani nyie kinawauma nini?au hakuna mgawo wenu?eheeeeeee vituz vinakuja tusubiri.its like simba has nothing to loose right?
   
 10. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  ...Ni zile za Meremeta... na huyo aliyetoa ahadi, ni yule yule msanii ambaye inji yake watu wanakufa njaa lkn yeye anashinda ana text na Lulu.... !!
   
 11. T

  Tanzania1960 JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pilipili iko shambaaaani lakini mimi inaniwasha sasa sijui nifanyeje?:-*
   
 12. B

  Baba Kiki JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 1,368
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Mleta hoja, una hoja nzuri tu. Na hii ni kwa timu zote simba na yanga wanajiandaa kwa sifa na mbwembwe kwa ajili ya uchawi na kuhonga. Haifai kwa sababu ni furaha ya muda mfupi.

  LAKINI badilisha id yako maana kuitwa shetani duuuu .........................
   
 13. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  @LUCIFER hebu badili ID yako tafadhali sio nzuri hata kidogo. Bora hata ujiite Shetani walau kuliko hilo jina

  back to the point. Watapunguza idadi ya magoli kutoka 5-0 hadi 3-1 maana timu yenyewe haina kocha.
   
 14. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mbona mnaweweseka na pesa isiyotoka mifukoni mwenu?Nyie akina nani mpaka mtupangie how to spend our cheddar?If you have nothing valuable to tell us then you better keep mum!
   
 15. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wameanza kutafuta sababu mapema,wakifungwa waseme ni zile Mil 100 kama vile walikuwepo wakati hiyo cheque ikiandikwa.
   
 16. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,140
  Likes Received: 2,188
  Trophy Points: 280
  Eti sababu,kwa tim ipo ya kuifunga simba?na kwa taarifa yenu msimu huu tunatoka unbeaten,
   
 17. P

  Pumb JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 296
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Lipeni madeni yenu kwanza nyie makandambili ccm otherwise mtashushwa daraja na fifa
   
 18. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,926
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  sababu wanaotoa hizo milioni 100 hawana interests na maendeleo ya soka...bali wanatafuta sifa itakayoweza kuwa shield kwenye mambo yao mengine ya kidunia...ni suala la "total mind control" nadhani lucifer unajua hii theory
   
 19. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kwani simba hawana wa kuwapatia milioni 100?..hahaha, yule kibaka mbunge wa tabora hana iyo hela...si alienda ndani kwa kuiba laki nane...hahaha. mnyama bwana hata hamjui watu wa kuwaweka kama viongozi...
   
 20. M

  Masuke JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Kama uwanjani zinacheza noti sawa, lakini kama ni wachezaji ishirini na mbili bado hizo milioni mia hazitasaidia kitu.
   
Loading...