Kama haujawahi kutoa mwanamke bikra ukamuacha sawa.Binafsi nimetembea na wanawake wengi sana. Mungu anisamehe. Lakini Wale nikiowakuta Bikra niliwaacha bila kuwaharibu kama nilikuwa siwapendi. Lakini baadae nilipata niliyemuona anavigezo vingi vya kuwa mke wangu. Kikiwepo kigezo cha bikra. Huyo nimeibikiri. Mpaka sasa tupo pamoja huu mwaka wa tano.
Anamalizia Degree yake ya udaktari hapa Muhimbili. Tuanze maisha ya ndoa Rasmi. Taratibu zote zimekamilika kichobaki ni ndoa tuu.
Katma is bitch kweli lakini laana ya mwenye dhambi ni kama dua la kuku lisilo mpata mwewe. Yaani nikukute huna bikra then utegemee nkuamini na kukupenda. Looh! Utakuwa uongo wa mchana
Ila wenzako wamezitoa hivyo wanaoa yeyote mwenye na asiye na bikira kwa sababu hata hao siyo mabikra.
Asante kwa kushiriki