Mfalme atoa amri vijana waoe wake kuanzia wawili

Status
Not open for further replies.
Daah ndiyo nilikuwa naenda kufungua PM ila . Kwani wachaga tumewakosea nini ??
Tatizo madem wa kichaga wanaspend mda mwingi wakiwa xcul au vyuoni so hawapati mda wa kufundwa. Ndo maana hata madem wengi waliosoma sana wanasemekana hawajui kitu 6×6.

Nahisi hata yule dem aliekuwa na gwajima kwenye ile video alikua mchaga coz kanona, na ni mzur lkn alikua katulia tuli kama vle anafundishwa maths kumbe anagong**
 
Mfalme wa King eSwatini amewataka vijana wote nchini humo waliofikisha umri wa kuoa, kuoa haraka huku akisisitiza kuwa wanatakiwa kuoa wake walau kuanzia wawili na kwa wale watakaoshindwa kufanya hivyo watafungwa jela ifikapo june 2019.

Mfalme huyo ambaye anawake 15 na watoto 25 na inaelezwa baba yake alikuwa na wake zaidi ya 70 na watoto 150, amesema nchi ya eSwatini inakabiliwa na tatizo kubwa la wanawake kukosa waume kutokana na nchi hiyo kuwa na wanawake wengi kuzidi wanaume.

Nchi hiyo ambayo inaaminika kuwa na ‘mabikira’ wengi swala la ndoa za wake wengi limekuwa likionekana nikitu cha kusifiwa licha ya kuwa familia nyingi zikishi kwenye maisha ya kawaidaView attachment 1097148

View attachment 1097151

View attachment 1097152
Nipe utaratibu tunafikaje huko ?
 
Tatizo madem wa kichaga wanaspend mda mwingi wakiwa xcul au vyuoni so hawapati mda wa kufundwa. Ndo maana hata madem wengi waliosoma sana wanasemekana hawajui kitu 6×6.

Nahisi hata yule dem aliekuwa na gwajima kwenye ile video alikua mchaga coz kanona, na ni mzur lkn alikua katulia tuli kama vle anafundishwa maths kumbe anagong**
Kwahiyo nimekosa vigezo siyo?
 
Kwahiyo nimekosa vigezo siyo?
Unajua kuna msemo unasema "There is no rule without exception" Sasa wewe unaonekana ni exception kwa hio situation nlioielezea hapo ndo maana nataka kuleta proposal, lkn sijui kwa nn umefunga PM.
 
Swaziland ina watoto wakali sana nilienda maeneo ya lobamba kiruuuu nilichange hela zote yoooo ngiyatustandze eswati
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom