Mfalme atoa amri vijana waoe wake kuanzia wawili

Status
Not open for further replies.

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,524
Mfalme wa King eSwatini amewataka vijana wote nchini humo waliofikisha umri wa kuoa, kuoa haraka huku akisisitiza kuwa wanatakiwa kuoa wake walau kuanzia wawili na kwa wale watakaoshindwa kufanya hivyo watafungwa jela ifikapo june 2019.

Mfalme huyo ambaye anawake 15 na watoto 25 na inaelezwa baba yake alikuwa na wake zaidi ya 70 na watoto 150, amesema nchi ya eSwatini inakabiliwa na tatizo kubwa la wanawake kukosa waume kutokana na nchi hiyo kuwa na wanawake wengi kuzidi wanaume.

Nchi hiyo ambayo inaaminika kuwa na ‘mabikira’ wengi swala la ndoa za wake wengi limekuwa likionekana nikitu cha kusifiwa licha ya kuwa familia nyingi zikishi kwenye maisha ya kawaida
FB_IMG_1557820201996.jpeg


1097151


1097152
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom