Mfalme atoa amri vijana waoe wake kuanzia wawili

Status
Not open for further replies.
hapana umejitoa sadaka ili tulipuke maumivu yetu ya ndani tulioumizwa na wanawake.
Kwa hiyo nyoka akiingia ndani kwako unakimbia unamwachia nyumba unahamia kwa jirani? Au utamuua uendelee kuishi kwako?
Hamna mtu anayeruhusiwa kutoka kwenda kuoa kwenye hii nchi. Mtuoe kwanza sisi watakaobaki ndiyo waende huko.
Sawa?
 
Ok cute b mi naleta proposal PM
 
utakosa mme..hapo ukute hata mtoto huna unadharau kitanda..au ulikua unaonesha tabia zako za kurukaruka unajua kila mwanamke
Hamuendi popote nyie. Mtaoa hapa hapa.
Tutawazaliwa watoto , wa kwanza wa boda boda, wa pili wakwako, watatu wa Fundi bomba.
 
Kwa hiyo nyoka akiingia ndani kwako unakimbia unamwachia nyumba unahamia kwa jirani? Au utamuua uendelee kuishi kwako?
Hamna mtu anayeruhusiwa kutoka kwenda kuoa kwenye hii nchi. Mtuoe kwanza sisi watakaobaki ndiyo waende huko.
Sawa?
awapi mim ningekuwa sijaoa ningeoa Mmalawi kwanza wanaadabu kuolewa na mtanzania kwao wanaona wameinuliwa pili wao wanaongea kiingereza kama lugha yao hivyo gharama za watoto kuwasomesha shule za kishua zitapungua na kingine ni hard worker wanapiga mzigo kisawasawa ndani na nje ya chumba achaaaaa kabisa! pia wanauzoefu wa kufuga kuku.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom