Mfahamu Zahera Mwinyi, kocha mpya wa klabu ya Yanga

KADA08

Member
Dec 2, 2017
44
152
Kuhusu Zahera Mwinyi.

1. Kuwa coach katika bara la Africa haihitaji Sana mtu mwenye utaalam mkubwa, Bali anahitajika mtu mzoefu na soka la Africa. "Ukocha ni project"
Katika project kuna Mambo makuu matano.

1. Initiate
Hapa tunaona kwamba Kuna uanzishwaji wa wazo(idea) katika project tarajiwa.
Kwa Yanga wazo la project yetu kwa Sasa ni kucheza labda fainali ya CAF club confederation cup 2018. Kwahiyo hapo tunaenda katika item two:-

2. Planning
Katika mipango yetu ya kucheza fainali inaonekana YANGA tunatakiwa kupangilia Mambo Kama vile Rasilimali watu, fedha, vifaa na muda.
Kwa upande wa Rasilimali watu moja kwa moja tutaenda katika nafasi zilizo wazi na zile zenye mapungufu. Nafasi yetu ya kwanza iliyowazi ni kocha.
Kocha tunayemtaka awe na sifa zipi??

1. Mzoefu na mashindano tunayotaka kucheza??
Hii ni wazi kocha mwinyi ameitumikia Dc Motema pembe na imeshacheza Hadi fainali ya CAF club championship.

2. Taaluma
Ipo ya kutosha Kama mlivyoona CV yake, amefundisha Hadi National team DRC ambao wapo katika nafasi za juu kwenye viwango vya ubora wa soka Africa na Dunia.

3. Mahitaji yake
Kwakweli kulingana na hali ya uchumi wa club yetu hatuhitaji kuajiri kocha wa gharama kubwa kama wazungu wa Ulaya, tutacheza na waafrika Hawa Hawa na mpira mtauona.

Pia mahitaji ya wachezaji wa kiwango Cha Yanga. Katika kipindi Cha karibuni nimeshuhudia wachezaji Bora kabisa wa soka hapa Tanzania wakitokea DR Congo Kama Mafisango, Tshishimbi, Pitchou Kongo na Patrick Katalaay na wengine. Na pia tumeona falsafa ya makocha wengi kupenda kutembea na wachezaji wao wanaowapa matokeo wanayoyawaza. Mfano Mourinho, Lwandamina akija na Justin Zullu lakini akashindw kuperform, Pia tutegemee kupata mchezaji toka Congo soon.

3. Implementation
Utekelezaji wa plans utahitajika Sana ilikufikia lengo.

Je huyu kocha anaweza kutekeleza majukumu atakayopewa??
Kwasababu ameshafanya kazi hiyo na hatuna Shaka naye

4. Monitoring
Mwinyi akikabidhiwa team, naona kabisa ataweza kuangalia maendeleo ya team kirahisi kwani ni mtu ambaye ametokea ukanda wa Africa ya kati kwahiyo mawasiliano yake na wachezaji pamoja na viongozi yatakuwa rahisi na lugha yao itakuwa moja. Tusubiri kazi tu.

5. Control
Pia ninauhakika ataweza kusimamia wapambanaji wake (wachezaji) vizuri kwani tayari anauzoefu na team za vilabu na Taifa. Sina Shaka kwa ujumla na Kocha huyu.
 
Kweli ataweza kuibadilisha Yanga katika muda mchache,
je anawajua wachezaji wa Yanga walivyo kwa sasa ?
Je anajua kuwa Club aipo vizuri kifedha hadi wachezaji wanashindwa kucheza katika viwango vyao asilia?
 
Pia yanga tuwe wakweli mapema kuwa haki yetu kiuchumi si nzuri sana so sometime tukimkopa asi mind sana.
 
Zuhura Mwinyi :D:D:D Tujiandae Kutongoza tu Tena Kwa Kimwana Cha [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom