Mfahamu vizuri Bujibuji

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,587
215,184
1126024


Jina alilopewa na wazazi wake ni Nkemi Owoh, alizaliwa mwaka 1958. Alisoma Engineering University na alianza kuigiza akiwa mwanafunzi. Nkemi ana kipaji cha kuchekesha hata script iweje ataweza kuingiza vichekesho vya kusisimua.

Kuna wakati watengeneza filamu wa Nolywood wali m black list Nkemi Owoh kutokana na kiwango cha juu cha malipo alicho jiwekea. Moja ya cinema zake za kusisimua na iliyompa tunzo la kimataifa ni Uosofia in London.

Nkemi aliwahi kuwekwa kizuizini mjiini Amsterdam baada ya police kuvamia show

Alifunga ndoa mwaka 1998 na Ngozi Nkemi Owoh na wamejaliwa kupata mabint wawili.

1126027


Ngozi si mwana JF mwenzetu shughuli hiyo amemuachia mzee Bujibuji.
 
😂😂😂😂😂😂😂kumbe unapenda uchokozi eh! Hahahahaha nikikuangalia saa nyingine sikumalizi Best 😂😂😂

View attachment 1126024

Jina alikopewa na wazazi wake ni Nkemi Owoh, alizaliwa mwaka 1958. Alisoma Engineering University na alianza kuigiza akiwa mwanafunzi.

Alifunga ndoa mwaka 1998 na Ngozi Nkemi Owoh na wamejaliwa kupata mabint wawili.

View attachment 1126027

Ngozi si mwana JF mwenzetu shughuli hiyo amemuachia mzee Bujibuji.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom