Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Jina alilopewa na wazazi wake ni Nkemi Owoh, alizaliwa mwaka 1958. Alisoma Engineering University na alianza kuigiza akiwa mwanafunzi. Nkemi ana kipaji cha kuchekesha hata script iweje ataweza kuingiza vichekesho vya kusisimua.
Kuna wakati watengeneza filamu wa Nolywood wali m black list Nkemi Owoh kutokana na kiwango cha juu cha malipo alicho jiwekea. Moja ya cinema zake za kusisimua na iliyompa tunzo la kimataifa ni Uosofia in London.
Nkemi aliwahi kuwekwa kizuizini mjiini Amsterdam baada ya police kuvamia show
Alifunga ndoa mwaka 1998 na Ngozi Nkemi Owoh na wamejaliwa kupata mabint wawili.
Ngozi si mwana JF mwenzetu shughuli hiyo amemuachia mzee Bujibuji.