Mfahamu T.O wa kike aliyeahidi kuolewa bila mahari ikitokea Mwanaume yeyote atampita

T. O Nikajua ni Transport Officer Aaghh kumbe bado ni mambo ya Shule....
nimecheka kama mazuri kaka kumbe T.O ina maana nyingi sio Tanzania one tu hata Transport officer pia ni kirefu chake, wabongo noma , weka picha tu caption wataweka wenyewe
 
Nafikiri hamkunisikia na mimi
T.O kutoka PC, Private candidate yaani risita
Mnamo mwaka 2008 nlifaulu kwenda sec ya kata kwa maksi ndogo mnooo yaani ndogo.
2011 nkimaliza rasmi na 2012 tokeo likatoka nkapata zero ya kwanza Tz.
Nikakaa mtaani kidogo kama miaka miwili hivi 2012-2013 nikatafakari kwa kina nikaona kuna haja ya kurudia mtihani.
Basi 2014 nikaanza maandalizi ya nguvu na nilirudia masomo yote saba hatimaye mwaka 2015 nkafanya Necta vizuri.
2016 tokeo likaja hivi
1.Hstry B
2.Geo B
3.Eng B
4.Kisw A
5.Civics B
6.Bios C
7.Maths C
Hapo ndo nikagundua kuwa kuna uenteinism na uhawkinism ndani yangu.
Basi bwana nkaenda Alfa kwa ricado mapekupeku pale Morogoro kuchukua form kwa ajili ya kusoma form V-VI but kwa bahati mbaya sikukuta form za miaka miwili ikabidi nichukue ya 1year PC
Kama kawa nikaanza msuli tena asee Mungu ni mwema ile 1year 2016-2017
Nilipiga 1 ya 9 ya HGL
1.Kisw B
2.Eng B
3.Histry C
4.G.S D
5.Divinity D
Kwa kweli zikiwekwa takwimu za T.O'z upande wa PC's litakuwa kosa kubwa kutoniweka kwenye orodha.
Mkuu umetishaaaa
 
Zamani kipindi nasoma nlijua kufaulu sana ndo dili kumbe hamna kitu we piga msuli pata marks za kukuvusha hiyo level then maisha yaendelee
 
Muongo huyu jamaa...Huyo lucylight kwelk anasoma Cuba MD na walipelekwa wengi tuu kusoma ilikuwa una apply tuu...hata waliopata three nzuri wanasoma nae chuo kimoja na wengine wenye two wanasoma wote

Yupo cuba mwaka wa sita na anamaliza next year degree yake ya kwanza na HASOMI MASTERS
Kingine huyo demu hata iyo Top five alikaa apo kwasababu ya matokeo BIBLE KNOWLEDGE AKIPATA "A", Bila hivyo asingekuwepo hata nafasi mia za mwanzo

Alipata hivi(Physics-D,Chemistry-C,Biology-B,Bible knowledge-A)....ndomana akapata One ya Point 6 ila kwa PCB tuu alikuwa na 1.9.....Tulimaliza mwaka mmoja na mimi ndomana namfahamu hata jeshini(jkt) tulipangiwa wote ila yeye hakwenda( 835 MGAMBO JKT)
Mkuu apo umedanganya tena parefu Lucylight alkua na div 1 ya 6,na alkua TO wa Chem na phz alpata C sio D na mwaka huo A za phz Zlkua nadra sana....
 
Ha ha ha umenikumbusha mbali Sana mkuu
😅😅😅kuna jamaa lilikua toto la chief wa zamani basi kuloeka miguu night nzima alafu bonge la mtu ilikua kawaida.
ikija paper tunaliacha maili kibao sasa vitasa hivyo mpirani huko ama umitashumta tunakoma
 
Muongo huyu jamaa...Huyo lucylight kwelk anasoma Cuba MD na walipelekwa wengi tuu kusoma ilikuwa una apply tuu...hata waliopata three nzuri wanasoma nae chuo kimoja na wengine wenye two wanasoma wote

Yupo cuba mwaka wa sita na anamaliza next year degree yake ya kwanza na HASOMI MASTERS
Kingine huyo demu hata iyo Top five alikaa apo kwasababu ya matokeo BIBLE KNOWLEDGE AKIPATA "A", Bila hivyo asingekuwepo hata nafasi mia za mwanzo

Alipata hivi(Physics-D,Chemistry-C,Biology-B,Bible knowledge-A)....ndomana akapata One ya Point 6 ila kwa PCB tuu alikuwa na 1.9.....Tulimaliza mwaka mmoja na mimi ndomana namfahamu hata jeshini(jkt) tulipangiwa wote ila yeye hakwenda( 835 MGAMBO JKT)
Vip una habari zake huko alipo?
 
TO wa ukweli huku mtaani ni diamond plutnumz.. kaishia la nne lakini ana kampuni imeajiri watanzania kibao.. na wanajenga, wanadrive na safari za ulaya kuliko wafanyakazi wa serikali...

bila kusahau diamomd karanga imetoa ajira kwa wamachinga kibao nchi nzima
Mwongeze na Msumkuma na Kibajaji. Hawa hawana hata darasa la saba. Ila huku mtaani wamekuwa Ma TO.
 
Back
Top Bottom