Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

Huyu mwanafunzi hakuwahi kuongoza matokeo ya kidato cha sita, mwaka 2006.

Hata huu wastani wa kupata 98 sio kweli na alipaswa kuchukuliwa hatua na serikali kwa KUPOTOSHA umma.

Na isitoshe hakuna orodha yoyote ya wanafunzi bora iliyokuwa ikitolewa na serikali miaka ya nyuma.

Orodha ya wanafunzi bora kuanzia darasa la saba, kidato cha nne na kidato cha sita imeanza kutolewa mwaka 2016, kipindi cha rais Magufuli.
Toka nizaliwe sijawahi kuona mtu muongo kama wewe
 
Huyu mwanafunzi hakuwahi kuongoza matokeo ya kidato cha sita, mwaka 2006.

Hata huu wastani wa kupata 98 sio kweli na alipaswa kuchukuliwa hatua na serikali kwa KUPOTOSHA umma.

Na isitoshe hakuna orodha yoyote ya wanafunzi bora iliyokuwa ikitolewa na serikali miaka ya nyuma.

Orodha ya wanafunzi bora kuanzia darasa la saba, kidato cha nne na kidato cha sita imeanza kutolewa mwaka 2016, kipindi cha rais Magufuli.
Maziku, upo siriasi kweli au unatuenjoy kwa elimu yako, tena engneer, unasema hakuna list iliyokuwa inatolewa!!?!
Jipe muda wa kutafiti jambo brother kabla hujalibishia kiasi hiki.
 
Wekeni hiyo orodha hapa! Hata orodha ya kumi bora yoyote kabla ya mwaka 2016.
 
Mimi orodha sina, ila nakumbuka miaka ya 2011/12, kuna jamaa waliitwa hadi bungeni, kwa kufanya vizuri kwenye mtihani wa taifa, CSSE.
Ndio maana yake! Wewe kipindi umemaliza shule hiyo orodha ilikuwa inatoka kama inavyotangazwa kipindi hiki?
 
Wekeni hiyo orodha hapa! Hata orodha ya kumi bora yoyote kabla ya mwaka 2016.
Hii ni orodha ya wanafunzi walifanya vizuri, mtihani wa taifa kidato cha Sita, 2011. Hapo wanatambulishwa bungeni.
Screenshot_20200716-200330.jpg
Screenshot_20200716-200341.jpg
Screenshot_20200716-200350.jpg
Screenshot_20200716-200358.jpg
Screenshot_20200716-200408.jpg
 
Mkuu japo sijui umri wako ila umeonekana ni mtu mvivu Sana wakufuatilia mambo.Au unataka mpaka Millady Ayo ndo apost habari fulani ndo ujenge Imani?

Hayo mambo ya wanafunzi bora yalikuwapo tangu muda sema hakukuwa na mass media nyingi ama social network ndio maana habari hazikwenda mbali kama leo hii.Ni sawa na kusema Diamond ndio msanii pekee kupata tuzo njee ya Tanzania kumbe walikuwako akina Juma Nature sema tuu wakati ule wenye access ya mass media walikuwa wachache hivyo hawapata kusikia habari Kama hii
Ndio maana yake! Wewe kipindi umemaliza shule hiyo orodha ilikuwa inatoka kama inavyotangazwa kipindi hiki?
 
Hakuna orodha ya wanafunzi bora iliyokuwa ikitolewa miaka ya nyuma. Kama ipo! Tuoneshe?
Weee muongo bhana, mmmmmh wakati 2010 kidato cha 4 aliongoza mdada anaitwa lucylight mallya kutoka Marian Girls. Na 2013 mwaka huo akiwa 4m 6 aliongoza mkaka Erasmo Inyasse kutoka Ilboru. Sasa wee kuanzia 2016 umetoa wapi?
 
Wekeni hizo orodha, siyo kutaja taja majina tu.
 
Mkuu japo sijui umri wako ila umeonekana ni mtu mvivu Sana wakufuatilia mambo.Au unataka mpaka Millady Ayo ndo apost habari fulani ndo ujenge Imani?

Hayo mambo ya wanafunzi bora yalikuwapo tangu muda sema hakukuwa na mass media nyingi ama social network ndio maana habari hazikwenda mbali kama leo hii.Ni sawa na kusema Diamond ndio msanii pekee kupata tuzo njee ya Tanzania kumbe walikuwako akina Juma Nature sema tuu wakati ule wenye access ya mass media walikuwa wachache hivyo hawapata kusikia habari Kama hii
Yaani nasema, tupe orodha ya wanafunzi bora waliofanya vizuri kitaifa mwaka 2006.
 
Nimeweka uthibitisho kwenye simulizi hii ya ukweli.

Inaonekana umesoma kichwa cha habari tu, jitahidi soma full utaona matokeo yake hapo chini
Nasema hivyo nikiwa na maana ya kuwa kupata division one ya point III siyo kigezo cha kuwa mwanafunzi bora kitaifa. Kama hiyo orodha ipo, naomba utuoneshe.
 
Back
Top Bottom