Mfahamu Stephen Sackur wa BBC Hard Talk - the world famous interviewer who is tougher than Paxman

6
Kuna mzee mmoja alikua CNN anaitwa Larry king,American television host,sijui alipotele wapi yule mzee,pia yupo vizuri sana kwa maswali.

I know him...

Alikuwa host wa:

1. Larry King Show CNN

2. Larry King Now CNN

3. Larry King Live Show CNN

Ni mzee mno sasa (86yrs) alishastaafu.

Ilikuwa ni mshine kali pia pengine kuliko hata akina Stephen Sucker ...
 
Hivi BAVICHA akili zenu mmemuachia Mbowe huko Segerea?

Kwanini mnapenda kuwadhalilisha watanzania? Hivi kweli mnamaanisha IQ za watanzania ni ndogo kama mnavyotabainisha?

Eti Lissu tu ndo mwenye hadhi ya kuhojiwa na HardTalk, shenzi type kabisa.

Mpelete DAB naye akahojiwe pale uone kama sarawili itabaki salama
 
Ila jamani kyna wakati watu tunamkufuru Mungu bila kujua
Hii habari kuwa Steve Sucker kuwa ni waajabu saaaana inanipatia ukakasi mno mbona alikuwa anauliza maswali ya kawaida japo logic na Lissu naye alijibu kawaida na logic pia?
Hii ya kumfanya kuwa Lissu au yeyote kuwa ni classic , he is of other planet ni Ibada na upumbavu kabisa..
Mbona Steve ni sawa tu na Rarry king.?
Mbona Steve ni sawa tu na teacher wangu?
Mbona HardTalk ni sawa tu na Enzi za Kitimoto ?
Hii Ibada ya kuwaabudu viongozi wetu wa vyama ni upumbavu iwe wa upande huu au ule.
Ninaamini tuna akili hata kupita viongozi wetu ila hatukupata fursa wakubali kushirikisha mawazo yetu tutasonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nawaza hivi

1. TL amewezaje kupata platform ya kwenda kuhojiwa? Wewe ulikuwa unamchukuliaje kipindi chote? Is he significant or not? Here think globally.

2. Nature ya maswali ya Steph yanaonesha anaijua tz In 3D. U know It’s human instinct, we normally side with the oppressed one. Je unahisi ni kwanini Steph hakuonesha hii? Namaanisha why 16 bullets didn’t feel like a thing to him?

3. Style ya uulizaji wake maswali ni kama anaswitch btn interrogation and interview. What does this tell you?

THINK! THINK! THINK,,




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lugha ndo tatizo au maswali? Kama ni lugha basi si kipimo cha uelewa wa mambo. Kuwe na kipindi kiitwe Maongezi magumu uone kama watanzania kweli hatuwezi kujieleza. However my suggestion is TL has confidence of expression.
 
H
Hivi BAVICHA akili zenu mmemuachia Mbowe huko Segerea?

Kwanini mnapenda kuwadhalilisha watanzania? Hivi kweli mnamaanisha IQ za watanzania ni ndogo kama mnavyotabainisha?

Eti Lissu tu ndo mwenye hadhi ya kuhojiwa na HardTalk, shenzi type kabisa.
Halafu alivyotibua Sasa|!
 
Back
Top Bottom