Mfahamu Sidney Atemesi, mtu aliyezaliwa na jinsia mbili

Tafuta hela...

Ninaweza tumia hata wiki nikisoma article na studies kuhusu mada ya aina moja tu. Wakati wewe waweza tumia muda kama ninaotumia mimi kusoma articles kwa ajili ya kutafuta hela.

Hii inakumaanishia kitu chochote?

Haimaanishi 'mind your own business' ila inamaanisha kila mtu 'is good at something' na kwakua you are good at making money I guess you are millionaire, right?
 
You are very right in your last paragraph.
 
Google haina habari za mtu huyu.

Uzi niliona una vingi haujaaddress nikaamua kwenda google, hakuna hata link moja.

Nilianza na 'Sidney Atemesi' nikaja na 'Sidney Atemes kenyan' nikaja na 'Sidney atemes kenyan bbc' zote hola
Umekosea jina, andika Sidney Etemesi.
 
Anaruhusiwa na nani?

ANAITWA
A hermaphrodite is a person that has both male and female sexual organs.
Mkuu sidhani kama binadamu anaitwa hermaphrodite,maana Mimi najua hermaphrodite ni viumbe kwenye jinsia mbili ila binadamu hayumo,na hawa ni kama vile konokono

Kwa binadamu najua wanaitwa Bi-sex,wataalamu watanirekebisha

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom