Mfahamu Sidney Atemesi, mtu aliyezaliwa na jinsia mbili

Google haina habari za mtu huyu.

Uzi niliona una vingi haujaaddress nikaamua kwenda google, hakuna hata link moja.

Nilianza na 'Sidney Atemesi' nikaja na 'Sidney Atemes kenyan' nikaja na 'Sidney atemes kenyan bbc' zote hola
Kwa huku kwetu ndio tunalimbuka sasa, kwa wenzetu wako wengi na wanaheshimu faragha ya mhusika.
 
Ninaweza tumia hata wiki nikisoma article na studies kuhusu mada ya aina moja tu. Wakati wewe waweza tumia muda kama ninaotumia mimi kusoma articles kwa ajili ya kutafuta hela.

Hii inakumaanishia kitu chochote?

Haimaanishi 'mind your own business' ila inamaanisha kila mtu 'is good at something' na kwakua you are good at making money I guess you are millionaire, right?
Tumia Kiswahili kwa sahihi. Sema ' hii inamaanisha nini (chochote) kwako?' Na sio 'inakumaanishia'
 
Back
Top Bottom