Mfahamu Reinhard Bonnke: Mhubiri aliyetikisa dunia

Kama alifufua basi atakuwa mzee wa snema,,,Gwajima style
namheshimu Gwajima sifahamu sana kuhusu huduma yake lakini Bonnke alikuwa ni true servant of God believe or not. Tatizo kuna wahuni wengi sana siku hizi wamevamia injili ndo maana kuna watu ukiwaambia kwamba miujiza ya kweli ya Mungu ilikuwepo na hata kwenye huduma kama za kina Boonke ilikuwepo watu wengi hawaamini.
 
Duh basi alikuwa na upako wa ajabu, binafsi sikuwahi kumuona ila namkubali sana kwani baada ya kuja Tz parents wangu walijikuta wana badili dini na kuwa na wokovu faza akaacha kupiga vyombo akawa mtu safi sana, Maisha yalibadilika sana hiyo ilichangia hata mafanikio yangu. Natumaini atakuwa amepumzika sehemu salama zaid.
Nguvu ya neno achana nayo Mungu amemtumia sana hata mimi sikumuona ila mama yangu alinosimulia jinsi alivobadilika baada ya mafundisho
 
Nakumbuka huyu jamaa alkuwa anatembea na vifaa vyake vya kutosha kuanzia umeme(generator) mpaka vyombo vya muziki,hakuwa anauamini umeme Wa tz na hakuwah utumia
 
Ni kipindi cha mapigo kwa INJILI YA KWELI, Great men wa TRUE GOSPEL wanatangulia

1. Bill Graham
2. Moses Kulola
3. Reinhard Bonnke
4.
5.
Huyo namba moja naskia alikuwa ni balaa alikuwa pale anaposimama kuhubiri kulikuwa na mwale wa mwanga unakaa juu yake ambao wanasayansi walishindwa kugundua umetokea wapi
 
Duh basi alikuwa na upako wa ajabu, binafsi sikuwahi kumuona ila namkubali sana kwani baada ya kuja Tz parents wangu walijikuta wana badili dini na kuwa na wokovu faza akaacha kupiga vyombo akawa mtu safi sana, Maisha yalibadilika sana hiyo ilichangia hata mafanikio yangu. Natumaini atakuwa amepumzika sehemu salama zaid.
Dah habari yako imenifikirisha sana.
In short wokovu unalipa sana ni vile tu watu wamefungwa ufahamu.

RIP Bonke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
namkumbuka sana huyu mhubiri Enzi hizo akija Tz na mikutano yake pale jangwani ya 'The big November Crusade' kipindi hicho nikiwa 'mu-apolloo' niki wavizia 'walokole' njiani kwa kuwapora na kuwaibia 'sadaka' zao njiani, kwa kweli Mwenyezi Mungu atunusuru na kutusamehee …………..
 
Bonnke haikuwa THE BIG NOVEMBER...
THE big ilikuwa na akina ROY DURMAN , GEORGE GICHANA , baadaye wakaja kina YONA SELEMAN, N.SASALI (baba yake na Samuel Sasali wa Clouds) na wengineo......

Tulikuwa tukipata Dozi za rohoni za maana sana....

Hapo APRIL ilikuwa tunamsubiri MZEE MOSES KULOLA (yooooooo.........)
 
Back
Top Bottom