Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,010
- 9,875
Moja kati ya jambo la kustaajabisha kwa kiumbe mamba ni kuwa hana ulimi, uchafu anaouzalisha kinywani kutokana na chakula anachokula husafishwa na ndege
Plover Bird ni ndege pekee ambaye huingia kinywani mwa mamba na mamba huwa hamli ndege huyu
Anachokifanya Plover kinywani mwa mamba ni kula uchafu unaokuwa kwenye meno ya mamba, hivyo huwa kama mswaki wake. Yeye hutoka akiwa ameshiba na mamba hubaki na kinywa safi
Ni jambo la ajabu katika utegemezi wa Mamba na Plover Bird kwa kuwa viumbe wengine wakiingia kinywani mwa mamba huwa wanaishia kuliwa